Nyalandu: CCM imeingiliwa na watu wenye roho mbaya

Mkuu mbona sasa hivi haitajiki kuuliza Wewe CHADEMA kabisa...kwa mwendo wa comments and Jina lako ndio kabisa....
Aah wapi! Umeingia choo cha kike basically kwa macho ya kibaguzi. Hapo inaonyesha uelewa wako ni finyu sana.

No affiliation but I’m for The underdogs, so what?

Don’t be fooled!
 
Angewataja kabisa kuwa ni mwenyekiti na mkuu wa mkoa
Roho yake nzuri ya kutufilisi mchana kweupe huku hao wananchi wa hiyo sehemu hata makazi descent tu hawana (angewagawia hata mabaki basi) huku yeye akila na kusaza. Hao wakimuamini basi nadhani tuna tatizo kwenye taifa kuliko tunavyofikiria...
 
Aah wapi! Umeingia choo cha kike basically kwa macho ya kibaguzi. Hapo inaonyesha uelewa wako ni finyu sana.

No affiliation but I’m for The underdogs, so what?

Don’t be fooled!
Mkuu Choo cha kike I prefer than cha kiume.... Kwani kuning'inia kwenye yale mabeseni sio mchezo.... Time will tell my friend.... Uzuri wa watanzania ni wepesi wa kusahau na tunakipaji cha kulalamika..... Tuliimba mabadiliko na rais mwenye maamuzi mungu kwa vile anatupenda TUMEPATA RAISI SAHIHI kwa TANZANIA YETU.....tumshukuru MUNGU!
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Nyalandu anammis sana Mzee wa Msoga.. Enzi ya Msoga yeye ndio aliyekuwa bashite wa sasa...

goes around always comes around

sasa zamu yake kushikilia makali...
Imepenya hiyooo, mtenda akitendewa hahahahahaha...... Kumbe unakumbukumbu nzuri mkuu
 
Ccm ipo ngangari sema kina nyalandu walikuwa wanataka maisha ya umalaya sasa ***** hapa kazi tu hatunaga masihara na hizo mambo. Pole yako nyalandu. Turudishie ulivytuibia kipindi ulipo waziri.
 
Yeye Nyalandu ana roho nzuri? Au ndio maneno ya mkosaji? Atuambie imekuwaje mpaka roho mbaya ikaingia CCM. Wanagawanaje nchi kama vipande sababu ya kupewa dhamana? Au amesahau au anafikiri haijulikani?
Watanzania huwa hatusahau ila tunapotezeaga tu, huyu bwana ndo walewale, kakosa ulaji anaanza kusema yooote....... wonderful things kwa wanasiasa wa Tz, poa karibu Ukawa.
 
Mkuu Choo cha kike I prefer than cha kiume.... Kwani kuning'inia kwenye yale mabeseni sio mchezo.... Time will tell my friend.... Uzuri wa watanzania ni wepesi wa kusahau na tunakipaji cha kulalamika..... Tuliimba mabadiliko na rais mwenye maamuzi mungu kwa vile anatupenda TUMEPATA RAISI SAHIHI kwa TANZANIA YETU.....tumshukuru MUNGU!
Good! Cha kike you belong! “Un problema mami”, just don’t forget!
 
Yeye alipokuwa anaua tembo wetu alikuwa na Roho nzuri? Jangiri mkubwa!
Kwahiyo kipenzi chetu, mtetezi wa wanyonge alimnadi jangili sio? Acha kumchafua kipenzi chetu wanyonge.
IMG_20171031_153535.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom