God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,062
- Thread starter
- #21
Nipo open mkuu pitia threds zangu za nyumaUsikate tamaa weka nguvu yako kushirikisha watu huwezi kukosa msaada ukinyoosha maneno mkuu
Nipo open mkuu pitia threds zangu za nyumaUsikate tamaa weka nguvu yako kushirikisha watu huwezi kukosa msaada ukinyoosha maneno mkuu
wewe jamaa kuna vitu unaficha ficha sana unaonekana unashida sema hutaki kufunguka na huwezi kupata msaada bila kufungukaMkuu nasmhukuru Mungu mkopo nilipata na ulinisaidia
Niko vizuri tuu ila sasa (...)
Ukikataa ule upande unaotawala kadhia zote utaziona mkuu.
Nimehama chuo sababu ya hii kitu still wanakamia tuu so nime give up...
"UKIKATAA ULE UPANDE UNAOTAWALA ...." .... Funguka basi ukikataa nini?Mkuu nasmhukuru Mungu mkopo nilipata na ulinisaidia
Niko vizuri tuu ila sasa (...)
Ukikataa ule upande unaotawala kadhia zote utaziona mkuu.
Nimehama chuo sababu ya hii kitu still wanakamia tuu so nime give up...
wewe jamaa kuna vitu unaficha ficha sana unaonekana unashida sema hutaki kufunguka na huwezi kupata msaada bila kufunguka
mambo ukiweka kwenye (..) ni ngumu sisi kukuelewa
"UKIKATAA ULE UPANDE UNAOTAWALA ...." .... Funguka basi ukikataa nini?
Ebu funguka kidogo ili usaidiwe mkuu......Nilitaman sana kumaliza elimu yangu lakini haikua hivyo kwa sababu ya wenye nchi.
Yote namuachia Mungu.
Kuna mambo mengi yanamfanya mtu asimalize shule/chuo huna ada, umedisco au bangi zimekuwa nyingi mbaka umeshindwa au magonjwaNilitaman sana kumaliza elimu yangu lakini haikua hivyo kwa sababu ya wenye nchi.
Yote namuachia Mungu.
Lazima tuwe hatred kwa sababu hamtaki tufanye kazi zetu kwa amani... daily kutuzuia na kufurahia kuona tunavyohangaikaWewe ni chadema ndio maana una develop hatred against that government ,hasira hasara
mungu hausiki na madude haya..Nilitaman sana kumaliza elimu yangu lakini haikua hivyo kwa sababu ya wenye nchi.
Yote namuachia Mungu.
Weka link za hizo thread zako tuone ulichoandikaPitia threads zangu za nyuma
PoleNilitaman sana kumaliza elimu yangu lakini haikua hivyo kwa sababu ya wenye nchi.
Yote namuachia Mungu.
Nini kimetokea unaweza kusaidiwaNilitaman sana kumaliza elimu yangu lakini haikua hivyo kwa sababu ya wenye nchi.
Yote namuachia Mungu.
Sio ajabu hautapata hiyo degree maana unamapungufu ya hekima na busara. Unakuwa kama wale wasichana wanaobalehe yaani anaweza nuna bila sababu ili umdekeze na kumuuliza tatizo ni nini na bado asikwambie atajivunga na kumumunya maneno ili tu sijui iweje kwasababu za kipuuzi tu zisizo na mashiko.Pitia threads zangu za nyuma
