Na sikia uchaguzi mkuu wanakodi chopa kila mkoa na yake lakini wataambulia HOLA TU. Tatizo CHADEMA ni sera zao za nchi HAITAWALIKI na watanzania hawapendi fujo na vurugu zisizo na maana, ukanda , Ubaguzi Gongo, Kulalamika hovyo, kujitia wanajua kila kitu, Fedha za ruzuku kuliwa na kikundi cha...