The answer is in the question.Hivi chadema wana ofisi au jamii forums ndio ofisi yao?
The answer is in the question.Hivi chadema wana ofisi au jamii forums ndio ofisi yao?
Update listi hiyo na unawapata wala ruzuku toka chama chako, ndio maana siku hizi haishabikiwi sana.vipi ile list of shame ya mafisadi 11 pale mwembeyanga. haikusaidia kufichua watafuna nchi wa magamba?
Huko kote mbali ungemshauri kwanza abadilishe M4C movement for Change na kutafuta neno la Kiswahili linaloeleweka na hapo ndio utakuwa mwanzo wa kuona kweli hawa wanawajali wananchi wa kawaida na sio wazungu! kama CCM, Nguvu Mpya Ari Mpya, Maisha Bora kwa kila Mtanzani n.k
hilo ni kundi lisilokuwa na msimamo,lisilojielewa, na ni rahisi kubadilika wakati wowote,usilitegemee sana, vijana wote si sawa na machalii wavuta bange wa arusha
Kama wewe ni mwanampira wa miguu, enzi za ManU ya Mzee Fagason dakika zote za nyongeza hasa baada ya dakika 90 za kawaida zilikuwa za ManU kutafuta ushindi au kusawazisha kama wamefungwa !Kwa nini hao 30%-40% wanaojitokeza wasichague CDM waichague CCM? Kikulacho ki nguoni mwako!!!!!!!!!!!!!!!
mi naona wewe utakuwa hujajitambua na siku ukijitambua mtakuwa hamna mbunge wala diwani nchi hii, athari ya daftari ni kwa wote CHADEMA na CCM, uwiano wa kura utabaki palepale hata mkiambiwa daftari mtengeneze nyie. Kwa nini unazunguka kusema chanzo ni ufisadi wa viongozi wa juu Mbowe na Slaa na wananchi wameshtuka na hawana imani tena na CHADEMA?Kingine ni mambo mliyomfanyia Zitto na wenzake sio kila mtu alipenda, mkaona mnapiga kelele kumuimba msaliti na mkakagua simu za wote wanaompigia simu mkafikiri mmeshinda, na bado mtaipata 2015. Wengi tumetokea kuichukia CHADEMA baada ya yale mambo na tunaiombea mabaya siku zote, mmeonyesha dalili za udikteta mapema na mmetusaidia kuwajua vizuri na itawachukua muda mrefu sana kurudisha imani ya wananchi.Nakataa hiyo. Hao vijana wanajielewa sana ndio maana wanahudhuria kwa wingi kwenye mikutano ya CHADEMA,wakiamini ndicho chama pekee kitakachowaletea ukombozi wa kweli. Kama daftari la wapiga kura litaboreshwa naamini impact ya kundi hilo itakuwa kubwa kwa CHADEMA.
Nakataa hiyo. Hao vijana wanajielewa sana ndio maana wanahudhuria kwa wingi kwenye mikutano ya CHADEMA,wakiamini ndicho chama pekee kitakachowaletea ukombozi wa kweli. Kama daftari la wapiga kura litaboreshwa naamini impact ya kundi hilo itakuwa kubwa kwa CHADEMA.
mi naona wewe utakuwa hujajitambua na siku ukijitambua mtakuwa hamna mbunge wala diwani nchi hii, athari ya daftari ni kwa wote CHADEMA na CCM, uwiano wa kura utabaki palepale hata mkiambiwa daftari mtengeneze nyie. Kwa nini unazunguka kusema chanzo ni ufisadi wa viongozi wa juu Mbowe na Slaa na wananchi wameshtuka na hawana imani tena na CHADEMA?Kingine ni mambo mliyomfanyia Zitto na wenzake sio kila mtu alipenda, mkaona mnapiga kelele kumuimba msaliti na mkakagua simu za wote wanaompigia simu mkafikiri mmeshinda, na bado mtaipata 2015. Wengi tumetokea kuichukia CHADEMA baada ya yale mambo na tunaiombea mabaya siku zote, mmeonyesha dalili za udikteta mapema na mmetusaidia kuwajua vizuri na itawachukua muda mrefu sana kurudisha imani ya wananchi.
Huko kote mbali ungemshauri kwanza abadilishe M4C movement for Change na kutafuta neno la Kiswahili linaloeleweka na hapo ndio utakuwa mwanzo wa kuona kweli hawa wanawajali wananchi wa kawaida na sio wazungu! kama CCM, Nguvu Mpya Ari Mpya, Maisha Bora kwa kila Mtanzani n.k
CHADEMA ina support kubwa sana kutoka kwa vijana kati ya miaka 18-26 ambalo ndilo kundi kubwa. Angalia idadi na umri wa watu wanaohudhuria mikutano ya CHADEMA. Asilimia kubwa ya vijana hao hawamo kwenye daftari la wapiga kura.
Kama wewe ni mwanampira wa miguu, enzi za ManU ya Mzee Fagason dakika zote za nyongeza hasa baada ya dakika 90 za kawaida zilikuwa za ManU kutafuta ushindi au kusawazisha kama wamefungwa !
CHADEMA nao wakijitokeza wapiga kura wachache au kama daftari la wapigakura lisipoboreshwa wale waliojitokeza kupiga kura wote wanaipa ushindi CCM! What a lame excuse! Wakishinda, kama kule AruMeru na madiwani wa Arusha hili hatulisikii.
Tutayasikia haya hadi lini?
tatizo padri slaa ni mbishi sana, hasikii wala haambiliki.
Nilipokutana na katibu mkuu wa CHADEMA Dk Wilbrod Slaa baada ya kushindwa vibaya na CCM kwenye uchaguzi ulioisha siku za karibuni nilizungumza nae mambo makuu mawili (wanajamvi mtaongezea mengine) ambayo pengine yamechangia ya huenda yakapelekea kutoa matokeo yaleyale kama hayatafanyiwa kazi.
i)Nilimkumbusha aangalie tofauti kubwa inayojitokeza baina ya wananchi wanaojitokeza kupiga kura na wale waliojiandikisha tofauti ni kubwa sana. Ni wastani wa 30%-40% ndio wanaojitokeza kupiga kura .Hata kwenye hizi chaguzi ndogo zilizopita hali ni hiyo hiyo. Nikamkumbusha hata 2010 Rais wa nchi alichaguliwa na watu wasiozidi mil 5 kati ya takribani watu mil 20 waliojiandikisha. Sasa ukitoa wale waliopoteza au KUUZA shahada zao kwa hiari baada ya kurubuniwa na wanasiasa(hasa CCM),pia ukiondoa wale wanaoshindwa kufika kwenye vituo vya kupiga kura kwa hofu ya vurugu zinazozuka muda mfupi kabla ya uchaguzi,sababu inayotolewa na wengi ambao hawajitokezi kupiga kura ni kutokuwa na imani na wagombea husika.
Hivyo inawezekana kabisa CCM ikawa inashinda hizi chaguzi kwa sababu tu watu wengi hawajitokezi kupiga kura na si kuwa wanakubalika kama wanavosema wenyewe. Nilimshauri waongeze bidii kwenye mpango mkakati yao,ikiwa ni pamoja na kutoa elimu ya kutosha na ya dhati ili wananchi wajitokeze kupiga kura kwenye chaguzi zijazo.Yanaweza yakapatikana matokeo tofauti na ilivyo sasa. Pia nilimtahadharisha kuwa wasitegemee CCM kulifanya hilo la kutoa elimu. Katibu mkuu wa CCM Mh A.Kinana aliwahi kutoa kauli kwamba anaridhika na mahudhurio katika chaguzi.Kwa CCM hata akitokea mpiga kura mmoja kati ya mia,ilimradi hiyo kura moja ni ya kwao hawana tatizo kabisa. Wanachotaka ni ushindi tu.
ii)Pia nilikubaliana nae kwamba kutoboreshwa daftari la wapiga kura kunachangia CCM kupata ushindi mkubwa ikiwa ni pamoja na chaguzi zilizoisha punde. Nimemtahadharisha kama wataenda kushiriki kwenye chaguzi za CHALINZE na KALINGA bila ya daftari la wapiga kura kuboreshwa watarajie KIPIGO KITAKATIFU kutoka CCM na pia nikamchekesha baada ya kumwambia aandae kabisa sababu za kuwadanganya wana CHADEMA kutokana na kushindwa kwao kwenye hizo chaguzi.
Inafahamika mara ya mwisho daftari la wapiga kura liliboreshwa mwaka 2009 kuelekea uchaguzi 2010. Ni zaidi ya miaka MITANO sasa.Kuna idadi kubwa ya vijana kati ya miaka 18-28 hawamo kwenye daftari la wapiga kura ,achilia mbali waliopoteza shahada zao(inakadiriwa zaidi ya watu mil 5 hawamo).Ni idadi hii ya watu mil 5 ndio ilimuweka Rais madarakani.
Na nikamkumbusha ni hao hao vijana wengi walio kwenye hiyo rika nililotaja hapo juu ndio mtaji mkubwa wa CHADEMA na ndio hao hao CCM kwa makusudi wanawanyima haki yao ya msingi ya kupiga kura. Fahamuni suala la kucheleweshwa kuboresha daftari la wapiga kura halifanywi kwa bahati mbaya.Na hakika msipoangalia mtaendelea kujaza maelfu ya wananchi katika mikutano yenu ambao ndio hao hao walio kwenye hilo rika nililotaja hapo juu ambao hawamo kwenye daftari la wapiga kura. Ni juzi tu katibu mkuu wa CCM Ndugu A.Kinana alitoa kauli kwamba anaridhika na idadi ya wanaojitokeza kupiga kura na haoni sababu ya kuboreshwa daftari la wapiga kura.
Sina hakika sana kama Mh amenielewa ila ujumbe umfikie .!
Kwa sababu CHADEMA imepata nguvu sana baada ya uchaguzi 2010,wengi wa wanao support CDM nu vijana walio kwenye hilo rika lililotajwa kama nimemuelewa vizuri mtoa mada.
Dr Slaa, kwanza niseme hoja ya Ochutz ina maana sana kwa wakati huu. Kama mliongea au la hilo soi hoja, hoja iliyopo ni mantiki ya hoja yake.
Ninakumbuka Mzee Mwanakijiji aliandika kuhoji upigaji wa kura Mbeya vijijini ambao ulikuwa ni asilimia 30.
Mwemyekiti wa NEC aliulizwa na hakuwa na jibu kwanini watu wajiandikishe asilimia 70 halafu wapige kura asilimia 30.
Huko nyuma kulikuwa na ushahidi wa ununuzi wa shahada za kupiga kura ambao uliisha kimya kimya bila ninyi wapinzani kufutailia.
Hoja ya Otchuz ni kuwa inawezekana kabisa kampeni zenu ni effective lakini mnashindwa 'technically'.
Unakumbuka baada ya kuanza kulinda vituo wizi ulibadili sura ya matokeo kwa kiasi kikubwa.
Je, mumeangalia kwa undani nini kinaendelea na asilimia ndogo ya wapiga kura?
Sidhani kama Otchuz kuandika katika gazeti kungeweza kuwa na impact kuliko ninyi wapinzani rasmi kulizungumzia suala hilo, hivyo ni muhimu ukaiona hoja yake bila kumjua au kuwa na prejudice dhidi yake
Utakumbuka kuwa tuliwahi kuwa na mjadala na hapa tena namnukuu Mwanakijiji kwa kusema kuwa vyama viwe na madaftari ya wapiga kura wao sambamba na la wapiga kura la NEC.
Je, mnajua wanachama wenu wangapi wanakwenda kupiga kura?
Laiti mngekuwa na daftari pengine mngekuwa na ushahidi mzuri sana wa kutahmini wapi tatizo lilipo.Hivyo ndivyo wanavyofanya wenzenu katika vyama vingine huko duniani. Hakuna kosa la kisheria kuandikisha wanachama wako na kuwafahamu.
Ni muhimu ukakubali kuangalia hoja bila kutanguliza hoja za nani anajua nani hajui.
Ahsante
Huyo Dk Slaa wa sasa ni tofauti na zamani, zamani kweli alikuwa mzalendo na mpigania mageuzi ya kweli, lakini kinachoonekna kwake sasa ni kukokotwa na mbowe kwa.kila jambo,ushauri wa maana kwake lazima utoke kwa Mbowe, nazani hata yeye anmhofia Mbowe asijekuitwa msaliti.nili mkubali sana zamani lakini sasa namuona ni miongoni mwa wachumia tumbo tu.
Sent from my GT-I9192 using Tapatalk