Recent content by PUNJE

  1. P

    Chapati ya Kichina, mmea unaoishi kwenye maji, Kombucha/tea mushroom

    Kama upo Dar nenda Wild flour organic shop Masaki. Wanauza kombucha...ndiyo hiyo. Omba mbegu watakupa.
  2. P

    Mfano siku ikibainika kula bila kumenya kunaongeza umri wa kuishi hadi miaka 200, tutajiona wajinga sana

    Hivi, hiyo miaka yao, ilikuwa ina siku sawa kama miaka yetu yenye siku 365? Isije kuwa ilikuwa na siku pungufu. Hivyo, ikaonekana ni mingi lakini siku ni chache.
  3. P

    Mfano siku ikibainika kula bila kumenya kunaongeza umri wa kuishi hadi miaka 200, tutajiona wajinga sana

    Salaam. Mimi ninaona kwanza tujiulize, je hao walioishi miaka 600, hiyo miaka ilikuwa na siku 365 kama ilivyo kwa miaka yetu? Maana inaweza kuwa siyo. Ikawa pungufu.
  4. P

    TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

    Ni jambo Jema, kuwawezesha wakulima kuhakiki viuatilifu kabla kuvitumia, lakini ni vema zaidi mkiongeza bidii ya kuwafikia hao wakulima mnaotarajia wtumie T-HAKIKI kupitia mtandao wa TTCL. .
  5. P

    TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

    Salaam. Tatizo kubwa kwangu, akatika kutumia TTCL ni kutokuwapo kwa mawimbi sehemu nyingi za Nchi yetu. Wilayani, Katani na Vijijini. Hivyo, kunilazimu niwe na akiba ua Laini kadhaa za Mitandao mingine kila ninaposafiri. Hujiuliza, Je! hamuwezi kushirikiana na Minara ya Mitandao mingine kueneza...
  6. P

    Kumtoa aliyefungwa gerezani (Hidden World) kwa jiwe la bahati

    Kunguru viota vyao viko juu ya miti mirefu karibia nchani kule kabisa.. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. P

    Ukiona dalili hizi kwa mgonjwa wako,jua ana aga dunia.

    Umenifanya nicheke kwa sauti hadi machozi yamenotoka. Asante sana.
  8. P

    Nakutumia Simu na bidhaa nyingine kutoka Nairobi kwa bei za jumla

    Mwanza Mabatini, ninakupateje hapo. Ninataka Xiom toleo la karibuni kabisa.
  9. P

    Kuunda umeme wa kinyesi Cha binadamu

    Nimeiona katika Google hiyo....Gas from human FAECES could generate electricity for up to 138 million households, report claims. Gas harnessed from human faeces could generate electricity for up to 138 million households and curb the destruction of trees for fuel, a new report has claimed.Nov 3...
  10. P

    Inayat Kassam aliyepambana kuokoa raia katika mashambulio mawili ya kigaidi nchini Kenya(Westgate na Riverside) ni nani?

    Nimeikuta katika matandao ikisema: Who is Kassam? He is licensed gun holder, a firearms instructor, training people on how to hand rifles, especially for close-range shooting. Kassam runs self-defence classes for individuals, security firms and corporate entities. He is the only licensed rifle...
  11. P

    Naomba mnipe ushuuda mlio wahi kutumia mbolea za kisasa kama kweli zina ua ardhi

    Ndugu Madugu; tafuta muda fuatilia Historia ya Ismani. Unaweza kupata mwanga kidogo kuhusu madhara ya aina hiyo ya mbolea. Kwa ufupi tu ni kuwa, udongo unatakiwa uwezeshwe kujirutubisha kiasili. Kama ilivyo kwa viumbe vyote duniani. Kwani udongo nao unaishi; na ni Hai.
  12. P

    Nampenda sana na inanitesa sana

    Ushuri wangu ni kuwa: Atafutaye hachoki, akichoka amepata. Endelea kutafutaa.. Gonga gogo usikie mlio wake....endelea kugonga hadi mlio utokee. Usijali. Endelea kumtumia ujumbe. ATAKUJIBU, MUDA UKIWA MUAFAKA KWAKE.
  13. P

    Ni aina gani ya miti inafaa kwa bustani ya nyumbani?

    Oh, ni vema unapenda miti katika bustani yako. Kabla hujaamua mti gani upande, ni vema ujue mahali ulipo. Mfano, kuna miti inasitawi vizuri sehemu za Pwani. Mingine sehemu zenye mwinuko na hali ya baridi, kama vile Nyanda za juu kusini. Hivyo, inategemea nyumba yako ipo wapi katika sehemu hizo...
Back
Top Bottom