Kumtoa aliyefungwa gerezani (Hidden World) kwa jiwe la bahati

Habari wana jf

Haya leo nitaeleza namna navyoweza mtoa mtu gerezani kwa kutumia jiwe la bahati,
Kabla sijaendela kumbuka hapa siongelei uchawi wala sifundishi uchawi ni elimu tu kama elimu zingine, naweza sema ni mojawapo ya maarifa tu ambayo mwanadamu amejaaliwa kuwa nayo nk

Sio lazima ufuate haya sio lazima ufanye haya nikujua tu kama ulivyojua tunapumua kwa kutumia pua lakini hauoni manufaa yoyote nk

Haya jambo lakufanya hapa nenda katafute kiota chakunguru kipo sehemu gani,
Ukiisha kipata hicho kiota cha kunguru hakikisha hakuwa ameanza kuyaatamia mayai yake,
Chukua yai moja au mawili,
Nenda nyumbani kayachemshe yale mayai hadi yaive kabisa(usije ukayapasua kuonja kama yameiva kiding)
kisha nenda kayarudishe katika kiota cha kunguru
Hakikisha ni siku hiyohiyo kabla kunguru hajarudi katika kiota chake

Nini kinatokea wewe kila siku utakuwa unaenda kuangalia ndani yakiota chakunguru hadi siku utalikuta jiwe. Utalichukua hilo jiwe na kuondoka nalo.

Kabla sijaendelea,

Nikwamba ndege huwa mayai yao yanaweza kuharibika(Yai Viza) ila kunguru pekee ndio anauwezo wakutibu yai lake likiwa viza

Anaenda mbali anakokujua yeye atatafuta hilo jiwe nakulileta katika kiota, hilo jiwe huyabadiri mayai yake kunguru na kuwa mayai yenye uzima tena na hata yakaja kuatamiwa na kuanguliwa,

kwahiyo hapo tunatumia kunguru kupata jiwe la bahati
umeona? hakuna uchawi wowote ni maajabu ya Mungu tu sema ulikuwa haujui hili

Haya tunaendelea
Basi unaenda siku gerezani kutembelea mfungwa wako ukiwa na hilo jiwe,
kama utapata namna ya kumpa basi utaweza kumpatia hilo jiwe,
Akiingia katika mlango wowote ule basi huo mlango tayari kwake, unakuwa upo wazi hata watu wote wataona hafai wala hastahili kukaa mahali hapo
basi ndani ya siku kadhaa tu anaachiwa huru,

Kila mahali na hatua lina njia na namna zake kuweza kulitumia ni jiwe la bahati tu
ukiweza kulipata bila msaada wa kunguru basi goodluck.

Kumbuka do for your own risk
Hakuna uchawi wala ulozi hapa, wala hakuna kumkufuru Mungu

Over
Kupata kiota cha kunguru nayo sio kazi ndogo
 
Kupata kiota cha kunguru nayo sio kazi ndogo
HA ha ha ha
kabisa ndugu lakini ukikutana na watu ambao tayari wanaelewa basi atakuambia tu twene mahali fulani mkifika hata hamuwezi kukosa kabisa
 
Nikweli ukimtumaini Mungu yote yanawezekana
Ndio maana ametupa akili na maarifa na utashi
badala yakukesha umuombe akufunulie nini kinaendelea duniani Unachukua simu unakaa kwenye tv nk unaelewa
Badala yakuomba akupe chakula unenda kufanya kazi upate riziki yako uweze kula
Badaya kuomba kufundishe kusoma unaenda zako shule kujifunza kusoma
Badala yakuomba akupeleke ulaya unatafuta hela na kufuata kanuni za kwenda nje
badaya yakumuomba akufanye usiumwe corona unajifunza njia za kujikinga na corona
badala ya kuomba akupe mke mwema unaenda kumtongoza demu unayempenda
badala yakuomba akupeleke kijijini kwenu unatafuta nauli unapanda basi unaenda

Yote yanawezekana kwa Mungu ila kumbuka katupa akili na maarifa tuweze kujiongoza na kuamua wenyewe
Kuna point muhimu sana hapo....naomba iwafikie walokole wote na wale wanaotegemea upako tu
 
Mkuu mm
Wazee wetu walijua mengi nakufa nayo.Sisi kizazi cha vitabu vya mzungu hakuna cha maana tunachojua.
Nimewahi kuhadithiwa ns mkinga mmoja kuwa kuna aina Fulani ya ndege ukimkamata na kumfunga kamba, basi mwenzie huenda kutafuta majani Fulani na kuja kumtoa hapo hivyo ukiyapata hayo majani hakuna mlango au kufuli litakalo kushinda hapa duniani.Babu zetu walijua mengi sana, bado wapo wachache wanajua.Mi natamani nipate mshirika mmoja tujitolee kudocument kila kitu wanachojua mababu waliopo.
Mi nareekea kuwa mzee lakini Hanna nachojua ni aibu sana tutazeeka tukiwa weupe huku vijana wakituangalia sisi kutatua shida kubwa kubwa ambazo elimu mzungu inafeli

Mkuu mm ni kijana mdogo Sana pakini Niko MORE THAN INTERESTED katika elimu hii ya mababu. Tuanzie wapi mkuu kufanya hilo swala??
 
Back
Top Bottom