Recent content by PUMKIN

  1. P

    JamiiForums Tanzania Mume kufukuzwa kazi kumenifundisha kuchepuka, sasa nimekuwa sugu

    ok sawa ulichokifanya sio sahihi lakini tuseme ukweli wanaume wa sasa hivi wamekua vitu vya ajaabu hata akijua ilimradi maisha yanaonga mnapenda mno kulelewa jamani phuuu
  2. P

    JamiiForums Tanzania Kuwekana kwenye profile picha ndo kipimo cha upendo?

    Haaaa unachekesha Sikh hizi hata uweke mkiwa kitandani hawajali as long as kipesa uko poa Ch
  3. P

    JamiiForums Tanzania Hivi ni nini kinachowafanya wanawake wanene kuwaganda wanaume kiasi hiki?

    Ka Kama sio type yako mbona alikutimizia haja zako acha kusingizia ulevi at times huwa nawakosea wanaume maana japo sio wote ila useless kama ww
  4. P

    JamiiForums Tanzania Kitovu kumuangukia mtoto wa kiume ni kweli anakuwa hana nguvu za kiume?

    La sasa kama hanithi atawezaje kulala je mwanamke
  5. P

    JamiiForums Tanzania Mke wa mtu anajiuza huku mume wake hajui

    Umbea umekujaa sasa wewe ulijuaje kwamba anaongea na simu wakati yupo na wanaume wengone au ulikua mteja sasa amekubwaga unamharibia nyoosha maelezo yanakuhusu nn wewe kama sio ushakunaku na upashkuna
  6. P

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri ndugu zangu,rafiki zangu

    Our stupied.. ...hivi wewe kwa miaka hiyo minne umemzalisha saa hizi ndio unaona mtu mzima ulipokua unambiringisha huko kitandani hadi ukamzalisha hukuyaona haya yote ningekua karibu ningekufungua hicho kichwa chako nione kama umebeba akili au ugali nyambafff
  7. P

    JamiiForums Tanzania Mwanamke subiri uvuliwe, usivue mwenyewe

    You can say that again!
  8. P

    JamiiForums Tanzania Ananilazimisha tukapime Magomeni tuu na sii hospitali nyingine

    Aliomba wakapime ili baadaye aseme wewe ndio uliye muambikiza wake up and smell the coffee bro
  9. P

    JamiiForums Tanzania Ndoa yangu ina dalili za usaliti

    Kama hata kitanda chako huwezi tandika inategemea nn utasaidiwa kila kitu kha!
  10. P

    JamiiForums Tanzania Abiria m-baguzi

    Hao watu wanatuonea tu wivu na ngozi zetu na rangi nawanajua kwa hakika hawawezi kuipata
  11. P

    JamiiForums Tanzania Kanitafutia kazi sasa nimekuwa mtumwa wa ngono

    Ningekua karibu ningekupa kofi... Unajisikiliza maneno unayosema sasa its not too late kesho mfuate mwambia enough is enough hufanyi tena kama anaka akifukuze kazi just tell him your back to your sences utakua mtumwa hadi lini jiongeze
  12. P

    JamiiForums Tanzania Ajira za kuaminika kumbe bado zipo.. Nimezikuta huku.

    Kweli kabisa hawa watu unajaza details kibao sijui siku unaitwa interview utailizwa nini
  13. P

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kupigana na mtu kisa mpenzi wako?

    Napita tu miye
  14. P

    JamiiForums Tanzania Sikujua kama ni mke wa mtu

    Sasa baba kama umeshajua na uliapa hutokaa ukafanya hicho kitendo basi mimi nakushauri bora uachane naye Mke wa mtu sumu
  15. P

    JamiiForums Tanzania Does the Age Difference Really Matter Katika Mahusiano!!!!!!!!

    yani that age is perfecto kabisa as for me kama ningelijua ningeolewa na mtu ambaye we differ like 15 years mens mature as in upstairs in there late 30's so unaona hapo bado kidogo tu assetle haa haa mens take it easy with me but that is the trueth.
Back
Top Bottom