Recent content by Pumb

  1. P

    JamiiForums Tanzania Nape amvaa Dr. Slaa

    vipi ile mikataba 20 ya gesi iliyosainiwa na jk na wachina ndani ya dakika 1 tulipewa masharti gani?
  2. P

    JamiiForums Tanzania Azam TV news: Dira ya dunia BBC wakae sawa

    itawachukua muda mrefu sana kuwapiku itv katika habari.......yaaani taarifa ya habari itv inaangaliwa na 98 % ya wenye tv kwa ving'amuzi mbalimbali.........
  3. P

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Ubungo Plaza: Prof. Lipumba ametangaza nia ya kuchukua fomu ya kugombea Urais wa JMT

    vipi hao wagombea wenu ccm zaidi ya 20 wanaohangaika kuchukua fomu ilihali ni mmoja tu anatakiwa?
  4. P

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

    diamond ameshabeba ya kwanza
  5. P

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

    diamond ameshabeba ya kwanza
  6. P

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

    wapendwa mwanga wa hapo ukumbini mnaona unaridhisha kweli? maana naona giza limezidi
  7. P

    JamiiForums Tanzania Kama haki itatendeka ndani ya CC ya CCM, Dkt Salim A Salim ndie Rais bora ajaye

    hebu acheni ujinga wenu saivi zamu ya rais mkiristo
  8. P

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kulawiti

    huyu sio nuh mziwanda wa shilole ni jina tu
  9. P

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kulawiti

    Mwanamke halawitiwi ila anabakwa kama ni mbele na ananajisiwa kama ni nyuma. Mwanaume ndo ana lawitiwa kwenye tigo
  10. P

    JamiiForums Tanzania UDSM: Diamond Platnumz is The Most Inspiring as a Music Icon

    nampenda sana AY na anatoa video nzuri lakini kwa promo daiomond kamzidi . Ana cha kujifunza hapa japo alianza kutoka kimataifa kabla ya diamond......Hongera sana dai kwa juhudi zako
  11. P

    JamiiForums Tanzania UDSM: Diamond Platnumz is The Most Inspiring as a Music Icon

    wewe na matumbo mmetoa somo zuri natamani wasanii wawe wanaingia humu kusoma comment hizi
  12. P

    JamiiForums Tanzania Updates Kutoka Kibanda Maiti Zanzibar: Mkutano wa CUF Kumtangaza mgombea Rais

    mwaka huu zanzibar patachimbika
  13. P

    JamiiForums Tanzania Updates Kutoka Kibanda Maiti Zanzibar: Mkutano wa CUF Kumtangaza mgombea Rais

    naona amekabidhiwa makamanda wa kumfikisha ikulu
  14. P

    JamiiForums Tanzania Updates Kutoka Kibanda Maiti Zanzibar: Mkutano wa CUF Kumtangaza mgombea Rais

    cuf safiiiiiiiiiii nashauri pia chadema mikutano yetu burudani pia ziwepo maana ujumbe ni rahisi kufika kwa njia ya burudani pia.........ukawa safiiiiiii
  15. P

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba ajitosa urais UKAWA

    kwahiyo Zanzibar wagombee CUF na huku bara wagombee CUF? nguvu ya cuf ni zanzibar huku bara ni chadema
Back
Top Bottom