Madhara ya kulawiti

Madhara ya kulawiti

unaacha kutashauri tutumie kondomu unatushauri tuache we jamaa hatar sana
 
Ukisoma suratul baqra 2:230 iinasema wake zenu ni kama konde zenu basi waingilieni mpendavyo, maswahaba wakamuuliza ya a rasul hii aya inamaanisha nini, rasul akawaambia imeruhusu kuwaingilia wake nyuma na mbele maana inaitikadiwa mwanamke anamatundu saba, puani mawili mdomoni masikioni jumla matano na kwenye uchi na nyuma jumla mawili, kwa hiyo ukijumlisha yote unayapata saba. So wengi wanafanya mchezo huo kwasababu wamesoma aya hii na hadithi zake.

Hapana, si sahihi kwa hiyo tafsiri yako. ..
 
Kwanza unapotosha, Qur'an 2: 230 ni hii hapa:

2:230. Na kama amempa t'alaka (ya tatu) basi si halali kwake baada ya hayo mpaka aolewe na mume mwengine. Na akiachwa basi hapana ubaya kwao kurejeana wakiona kuwa watashikamana na mipaka ya Mwenyezi Mungu. Na hii ni mipaka ya Mwenyezi Mungu anayo ibainisha kwa watu wanao jua. ***

Hiyo aya unayotaka kupotosha wewe ni 2:223, nayo ni hii hapa:

2:223. Wake zenu ni kama konde zenu. Basi ziendeeni konde zenu mpendavyo. Lakini jitangulizieni kheri nafsi zenu, na mcheni Mwenyezi Mungu, na jueni kuwa hakika nyinyi mtakutana naye. Na wape bishara njema Waumini. ***

Tupe ushahidi wa hiyo tafsiri yako potofu.

Hizo laana zenu zinawafanya mpaka mjitungie tafsiri zenu.

Konde zenu simply inamaanisha waingilieni mfano wa kondezenu, pale wanapoweza wakaleta mazao, ie. Kuzaa. Sasa ili mwanamke azae utamuingilia wapi? halafu konde zenu mkiziingilia hovyo bila kuzitunza, zitaleta mazao mazuri?

Fikiri ewe punguani.
 
Back
Top Bottom