Kama haki itatendeka ndani ya CC ya CCM, Dkt Salim A Salim ndie Rais bora ajaye

Hatutaki rais wa kimataifa...tunataka rais atakayetoa kipaumbele kushugulikia matatizo ya ndani kikamilifu....na hapo sioni mtu mwingine anayeweza kupigana na fraud, money laundering, corruption & racketeering nje ya JP Magufuli

Wanatuletea wazee wa itifaki na wajuzi wa kuvaa suti na kuendesha makongamano.
 
Hebu jaribuni kumuweka bata muone kitakachotokea.

Mkuu kwani wanaoomba nafasi hiyo kupitia CCM yupi sio bata? Sifa ya bata ni matendo yake ya kupenda uchafu, wenzetu nao wako hivyo kukumbatia kila kashfa na ufisadi
Mwana CCM katupa msamiati mpya........thanks
 
Wasalaam wanajukwaa!

Nadhani kila mtu anamjua huyu mwanamapinduzi,mwanadiplomasia aliyebobea wa siasa za kitaifa na kimataifa,Waziri mkuu mstaafu, katibu mkuu mstaafu wa Umoja wa Africa(AU),Mtumishi wa umma wa miaka mingi asiyekua na doa katika uongozi wake!

Huyu ni kiongozi aliyewahi kutia nia kugombea urais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania miaka ya nyuma ndani ya CCM lakini rafu za kimakundi zikamchezea!

Ni mtu mwenye maono na anayekubalika kila kona ya dunia, Hakika hii ndio dhahabu ambayo CCM hakitakiwi kucheza nayo, Kama kweli inavyosemekana kua atachukua form ya kuwania urais naye wiki ijayo basi ndiye atakayemaliza kazi maana mpaka hapa kwa waliotia nia wote hakuna wa kufanana naye!

Ni mtu ambaye kwakweli kama atapitishwa ndiye atakayewapa wakati mgumu sana upinzani nchini.

Huyu mzee ni Turufu ya Taifa.

Matope ya 2005 nani atampangusa? Aliyempa matope ndiye anatakiwa ampanguse.
 
Tunamuomba kwa busara zake mzaredo na mweredi,atumie vipawa vyake alivyopewa na mungu kuwasaidia watanzania kuwapa rais bora na mwenye dira ya umasikini wa watanzania ,
1,MAGUFULI
2,MWANDOSYA
3,NYERERE
HASIWE KAMA WENGINE KWENYE CC AMBAO inasemekana MTAFUTA UFALUME lowasa amewaonga wampitishe ,atakuwa ametutendea haiki na tutamuombea kwa mungu milele.
 
Ni ujinga wako tu ndio unaokufanya usione hoja yangu. Hoja ni kwamba Upinzani wa Tanzania hauna nafasi yamkushinda nafasi ya urais hata kama CCM wasiposimamisha mtu. Kwa waliokuwa wanachagua enzi za chama kimoja wamenielewa nini nimemaanisha

Sawa, Ulichosema ni CCM kusimamisha "BATA"
 
Akichukuwa fomu ya kuwania urais nina uhakika atatusumbuwa sana UKAWA.lakini nasikia alishasema hataki tena urais.labda ccm wamfate wakamuombe msamaha si unakumbuka matusi na kashfa walizompa huyu jamaa mwaka 2015 mkuu?

Vitu vyote weshabinafsisha na mikataba miaka 50 mingine 100 ataendeshaje nchi watu wengine kusema uongo kwao mwiko.
 
Kwa mazingira ya siasa za sasa ambapo waislam wamekuwa wakiandamwa na maadui wa taifs hili hasa wale wanaoona kuwa wenye dini yao tu ndo wanastahili kuongoza, sioni nafasi ya Salim kwenye mfumo huu dhalimu. Pia kuna kautamaduni ka kubalilishana baina ya Waislam na Wakristo katika nafasi ya Urais. Ni utamaduni mzuri japo una kasoro zake

Sidhani kama kuna dini inayodhani inatakiwa yenyewe tu ndio iongoze maana awamu zimekuwa zikibadilisha watawala . Sipendi kudanganywa kuwa asilimia zaidi ya 80 alizopata JK ni sisi waisilamu pekee tuliompigia hizo kura , tufikiri tukiwa huru
 
Kwa mazingira ya siasa za sasa ambapo waislam wamekuwa wakiandamwa na maadui wa taifs hili hasa wale wanaoona kuwa wenye dini yao tu ndo wanastahili kuongoza, sioni nafasi ya Salim kwenye mfumo huu dhalimu. Pia kuna kautamaduni ka kubalilishana baina ya Waislam na Wakristo katika nafasi ya Urais. Ni utamaduni mzuri japo una kasoro zake

Ndio maana unachuki na Lowasa kwasababu ya dini yake? Wewe na wadini wenzio huu ni mwaka wenu wa kufa presha.
 
Ndio maana unachuki na Lowasa kwasababu ya dini yake? Wewe na wadini wenzio huu ni mwaka wenu wa kufa presha.

Tunaweza tukampata asiye na dini na tukampa, kama haya madini ndo tatizo acha tumushawishi mzee Kingunge aingie magogoni
 
Wasalaam wanajukwaa!

Nadhani kila mtu anamjua huyu mwanamapinduzi,mwanadiplomasia aliyebobea wa siasa za kitaifa na kimataifa,Waziri mkuu mstaafu, katibu mkuu mstaafu wa Umoja wa Africa(AU),Mtumishi wa umma wa miaka mingi asiyekua na doa katika uongozi wake!

Huyu ni kiongozi aliyewahi kutia nia kugombea urais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania miaka ya nyuma ndani ya CCM lakini rafu za kimakundi zikamchezea!

Ni mtu mwenye maono na anayekubalika kila kona ya dunia, Hakika hii ndio dhahabu ambayo CCM hakitakiwi kucheza nayo, Kama kweli inavyosemekana kua atachukua form ya kuwania urais naye wiki ijayo basi ndiye atakayemaliza kazi maana mpaka hapa kwa waliotia nia wote hakuna wa kufanana naye!

Ni mtu ambaye kwakweli kama atapitishwa ndiye atakayewapa wakati mgumu sana upinzani nchini.

Huyu mzee ni Turufu ya Taifa.

Sawa lkn ccm ni ngumu sana kumpitisha Yale Yale 2005
 
Ndio maana unachuki na Lowasa kwasababu ya dini yake? Wewe na wadini wenzio huu ni mwaka wenu wa kufa presha.

Buldoza umempa lizaboni za usoni bila huruma.kweli octoba wacheza bao watafute kazi ya kufanya na kina riz wakimbie maana nasikia dhamana aliyopata riz china mwisho oktoba vinginevyo atarudishwa china kusomewa mashtaka ya unga.hahaa wadini wakubwa hwa wanataka kupita kwa membe aliyebadili dini maana atawahurumia
 
huyu mzee yuko vizuri tatizo amenyamazia maovu yakitendeka..... ccm imechakachua maoni ya wananchi lakini yeye yuko kimya tu...
Hayuko kimya Ila alishaumizwa sana mwaka 2005 a livyochafuliwa na kundi flani wakati huo wakimwita mwarabu sio raia wa Tanzania. Akipitishwa tu ndo utaiona moto wake.
 
Back
Top Bottom