Recent content by Puan

  1. P

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuondoa kitambi bila kukonda?

    Unaweza kwa kuacha wanga wa wali na ugali, soda na sukari zote, Tumia mihogo, viazi vitamu, nyama, ndizi mbivu, mayai ya kienyeji, mafuta ya mifugo(samli) kwa kupikia. Huwezi kwepa gharama ya kutoacha kula milo yote. Matokeo ya hayo ni raha ya awali ya kufukia tu bila kuzingatia unachoingiza...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuondoa kitambi bila kukonda?

    Unaweza kwa kuacha wanga wa wali na ugali, soda na sukari zote, Tumia mihogo, viazi vitamu, nyama, ndizi mbivu, mayai ya kienyeji, mafuta ya mifugo(samli) kwa kupikia. Huwezi kwepa gharama ya kutoacha kula milo yote. Matokeo ya hayo ni raha ya awali ya kufulia tu bila kuzingatia...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuondoa kitambi bila kukonda?

    Unaweza kwa kuacha wanga wa wali na ugali, soda na sukari zote, Tumia mihogo, viazi vitamu, nyama, ndizi mbivu, mafuta ya mifugo. Kwa maarifa zaidi mfuatilie Dr.Eric Amerix twitter au telegram.
  4. P

    JamiiForums Tanzania El Niño yabadili ratiba ya mitihani ya taifa

    Oktoba 29?
  5. P

    JamiiForums Tanzania Mchanganyiko gani wa matunda unapenda juisi yake?

    Prof.Janabi alishakataza, nakula tunda.
  6. P

    JamiiForums Tanzania Nitafanya kazi gani baada ya kumaliza kusoma?

    Inapaswa uondoe dhana kwanza ya kwamba umesoma ili uajiriwe, ajira siku zote mshahara wake haujawahi kutosha kamwe duniani, na watu hawawi matajiri kwa kutegemea mshahara, Ukifanikiwa kupata kazi, upatapo pesa yako uwe na mgawanyo wa fedha zako kabla ya matumizi, fedha ya sehemu ya Mungu, Fedha...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Unajenga nyumba ya milion 300 ili upangishe laki 3, ni akili au matope?

    Bora hiyo hela ungeweka UTT AMIS, upokee milioni 3 kwa mwezi kwa gawio, Kama huna namna nyingine basi.
  8. P

    JamiiForums Tanzania Ndoto yako ya kumiliki chombo cha moto imefikia wapi?

    Bado ipo.
  9. P

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na Milioni 10 leo, utachagua kufanya nini kati ya shughuli hizi tatu?

    Nanunua ndama 20@500,000, kisha nawafuga kwa miezi nane(8), na kisha kuwapiga bei. Kwa machaguo ya uwekezaji, labda UTT AMIS kwenye hati fungani.
  10. P

    JamiiForums Tanzania Gen Z wachache sana wataweza kuelewa nini kilikuwa kinaendelea hapa

    Maskani, kikombe cha Babu Loliondo-Ngorongoro Arusha Tanzania. 2011/2012.
  11. P

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hersi atemwa tena ubunge Kongwa, 13 wapita

    Mbona Ally Kamwe anakanusha haya?
  12. P

    JamiiForums Tanzania Wakongwe enzi hizo ulimiki simu gani ya kwanza kati ya hizi?

    PHILIPS
Back
Top Bottom