Habarini nyote, mimi ni Msanifu (Graphic Designer) mwenye kiu ya kujitangaza kwa kazi zangu.
Kwa kuwa sina kazi nilizofanya kwa sasa, nipo tayari kikutengenezea logos, business cards, calendars, fliers, letterheads, wheelcovers, brochures, nk. pasipo gharama (isipokuwa ya picha tu, kama...