Jifunze graphic design, bei ni karibu na bure

Jifunze graphic design, bei ni karibu na bure

Joined
Oct 27, 2012
Posts
62
Reaction score
19
Je, ungependa kufahamu 'Graphic Design' kwa ufasaha ndani ya muda mfupi?

Kama ndiyo, ni-PM tuzungumze. Nitakufundisha Adobe Photoshop, Illustrator, In Design na Lightroom.

Nitakufundisha pia 'Video Editing' kwa kutumia Adobe Premiere na After Effects kwa vitendo.

Utaweza kujiajiri katika kutengeneza majarida, vipeperushi, mabango, nembo (logos) na video.

Muda wa kufundishana ni wowote tutakaokubaliana na bei ni maelewano.

Ninapatikana!
 
Back
Top Bottom