Nitakufanyia Kazi Bure ili Kujitengenezea "Portfolio".

Nitakufanyia Kazi Bure ili Kujitengenezea "Portfolio".

Joined
Oct 27, 2012
Posts
62
Reaction score
19
Habarini nyote, mimi ni Msanifu (Graphic Designer) mwenye kiu ya kujitangaza kwa kazi zangu.

Kwa kuwa sina kazi nilizofanya kwa sasa, nipo tayari kikutengenezea logos, business cards, calendars, fliers, letterheads, wheelcovers, brochures, nk. pasipo gharama (isipokuwa ya picha tu, kama utahitaji picha halisi za bidhaa/huduma zako).

Utatumia designs zangu pale utakaporidhika nazo, na ni bure.

Ninatengeneza pia matangazo ya video (utalipia kamera tu).

Kwa muhitaji tukutane inbox. Ningependelea zaidi kikundi, kampuni au asasi kuliko mtu binafsi.

Nawasilisha.
 
Sawa Mkuu...

Sent from my ZTE BLADE A510 using JamiiForums mobile app
 
kama una dslr camera inayoweza kurekodi video vizuri,..ni-PM. kuna dili moja la kufanya, utafanya pia Graphic Design na kupata hela kiulaini sana.
 
kwahyo waweza nitengenezea Logo ya pre ariana bure

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mkuu text whatsapp namba hiyo tuone mautundu yako +255 714 434 190
 
Back
Top Bottom