Recent content by pstar01884

  1. P

    JamiiForums Tanzania UDSM uchaguzi wa Rais na makamu wake wapamba moto

    Tuwekee majina ya wagombea na kambi zao za kisiasa hapo chuoni tujue moja kati ya YUPI ASUKWE N ANI WA KUNYOLEWA. Maana hakuna kulegeza uzi hata uwe uchaguzi wa kiranja wa darasa. Magamba ni ya kutokomezwa popote yalipo.
  2. P

    JamiiForums Tanzania Kiyabo: CCK itatoa Rais 2015

    Hahahaha... Kuna harufu ya gogoro kufurukuta. Ina maana Mwenezi (J.S. Alawy) hamuelewani na mwnykiti (Akatanda). Siasa za bongo full comedy. Chama kimeanzishwa juzi, leo migogoro imeanza kumea. Hahahahaha..
  3. P

    JamiiForums Tanzania Tamko la CHADEMA - Aprili 14, 2013

    Sasa nimeielewa kauli ya 'the president elect 2015' kwamba, "CHADEMA ipo makini na imara kuliko serikali"
  4. P

    JamiiForums Tanzania Tamko la CHADEMA - Aprili 14, 2013

    Daaah.. CHADEMA ni moto wa kuotea mbaya. These guyz are so smart indeed.
  5. P

    JamiiForums Tanzania Nitamuunga mkono mgombea Ubunge yeyote wa chama changu (CCM) jimbo la Ubungo kumng'oa Mnyika

    Na mimi nipo hapa Sinza Palestina. Vijana hapa tupo bega kwa bega na mbunge wetu kipenzi J.J. Mnyika. Hata angegombea bosi wako Kikwete hana ubavu wa kumng'oa mbunge wetu. Tunaridhika kwa uchapakaz wake. Viva Mnyika.
  6. P

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Arusha akamatwa na Vijana wa chama kwa kukashifu viongozi

    Ukiendelea kuwa mmbea hv kuna cku vijeba watakuibukia na hakika 0717.. italiwa hadharani, mchana kweupee. Punguza umbea.
  7. P

    JamiiForums Tanzania Shelukindo: Namuunga mkono Lowassa kumrithi Kikwete

    sawa mromboo wa Mahida Udangeni Mamserachini. Tumekusikia.
  8. P

    JamiiForums Tanzania Africa's Female Political Power Players: Halima Mdee, Elsie Kanza ndani!

    Ulimwengu unatambua mchango wako.
  9. P

    JamiiForums Tanzania Huyo ndiye Ben Saanane na majibu ya Zitto

    Astaghafirulah.. Tia maji, tia maji. KAZI IPO
  10. P

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA - London aenguliwa wadhifa

    Hahahaha... Njaa kareee! Nimefurahi inteligensia ya chama ilivyo makini. Hapo tunasema 'MISSION FAILED'. Hv Chris Lukosi unakumbuka nilimek appointment kuhusu masuala ya kibiashara kwny mwezi wa 8 ukaniahidi kukutana mwezi wa 9 ambapo ulikuja Tz? Nashukuru ile appointment iliyeyuka coz mtu...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA - London aenguliwa wadhifa

    Hahahaha... Njaa kareee! Nimefurahi inteligensia ya chama ilivyo makini. Hapo tunasema 'MISSION FAILED'
  12. P

    JamiiForums Tanzania KAULI ya CHADEMA juu ya watumishi wa umma kutoa taarifa katika mikutano ya CCM

    akili kama za samaki. Hahahahaha.. Mfano murua kabisa.
  13. P

    JamiiForums Tanzania Live: Kikao cha UVCCM kata ya Ruanda, jijini Mbeya

    Ina maana na wewe ni Uvmagamba? Au ndo mambo ya kutafunana ndani kwa ndani?
Back
Top Bottom