Hapana sikubaliani na wewe hiyo sio sababu,kwani walimu zamani walikuwa wanalipwa vizuri?Ualimu ni wito,siku hizi hakuna hilo sababu walimu wenyewe utakuta hajui kitu,mwalimu hajui jibu,mwalimu hatofautishi matumizi ya R na L,mwalimu hajui anachofundisha unategemea mwanafunzi atajua...
Ndugu usijilaumu sana kwa hilo,ni mapenzi ya Mungu kwani kupitia kwako mwili wa huyo marehemu ulipata nduguze na ukahifadhiwa kufuata taratibu za mazishi,sasa ungemuacha njiani akafariki na mwili wake ukaliwa na fisi je?Kitendo cha kumsaidia ni thawabu umezipata hivyo usijute hata kidogo.Futa...
Mimi sidhani hilo ni jambo zuri maana unaweza kumpa juice au maji bahati mbaya akaanza kuumwa waweza husishwa mpk uchunguzi utapobaini chanzo cha tatizo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.