ACACIA Mining PLC: We do not agree with President Magufuli Committee's findings...

Na hii report ya Makomeo imedhihirisha kwa kiasi gani ni muongo wa kupindukia

i do agree with acacia to the large extent, unfortunately Makomeo is not that much transparent he has his personal interest on this process of which it will cost the entire country.

The contract was signed sometime back,....MNA UHAKIKA KWENYE MKATABA WAO, KUCHUKUA MCHANGA UNAOBAKI HAIKUWA PART OF MAKUBALIANO YAO???, na hata percentage ya leftovers he has just exaggerate it, as if we are capable of reprocess the remaining minerals.

Think twice.

Capitalists always will exploit you.

Hapa cha maana ni kukataa huu upuuzi wa wazungu koko.
Mara ya kwanza walisema hakuna thamani yoyote ya mchanga then, overnight wanakuja kusema mchanga una thamani japo siyo kubwa sana kama ambayo report imetaja.

It's crazy and a double standard ways of doing things.

Labda, mimi tatizo ninaloliona hapa ni kwamba, both of us we did a childish game for signing those contracts in darkness.

Lack of transparency.
 
Tunapaswa kuwa makini sana kabla ya kupongeza kazi hii.
Toka zama za Samaki wa Magufuli nimejifunza ukurupukaji ni mbaya sana!!
 
Umetaja tu Tume ya Mwakyembe bila kurejea kilichotokea na mapungufu yake, ili ueleweke.

Niliomba uweke uzalendo mbele kwa kutoa ushauri wa jinsi ya kumaliza suala hili la kusafirusha mchanga. Badala yake unaendelea kulaumu.

Hakika anayeona mapungufu huwa na jinsi mbadala
tusubiri ripoti ya acacia na pengine maamuzi ya mahakama iwapo wataenda mahakamani,narejea tume ya mwakyembe sababu upuuzi wake unasababisha nannua umeme kwa bei juu sababu yake.
 
Nyie ndio wale wale ambao bado mnaishi kwenye zama za kale.Tanzania mpya imepatikana,Mambo yamebadilika sasa wewe usiyetaka kwenda na biti unalia lia hapa.Wote waliofanya madudu watafikiwa tuu ni swala la muda tuu.mmoja baaada ya mwingine
Siamini watu wanaowatetea hawa jamaa, wakoloni walivyokuwepo walichota mpaka reserve yao ya gold ikafurika, ikabidi waanze kuuza, tumepata uhuru nyerere akabana, wakamuona dikteta na kumchukia ile mbaya, kaja mwinyi na wengine tukafunguwa miguu jamaa wakaja wakatufanya ile mbaya, leo tumestuka, tunabana tena miguu, jamaa wanakua na zao, kama kawaida yao wataweza kutuvuruga kama DRC, tupigane wewe ili waendelee kuchota, wazungu shetani sana aise.
Kwa hili hapana, enough is enough, tumewabaini, wanamamluki wao, tena kwenye board zao hapa nchini, sasa hivi wako kazini, JPM na kikosi chake wanawajuwa, wengine walifukuzwa wakarudi, tuanze na wale, hapana imetosha kaka, hapa waje na mikataba yao, PR zao, lakini ukweli jana umejulikana aise..
 
Ila hatukatai, haya majipu yanatumbuliwa, ila jamani mbona maisha bado magumu?! JPM na kikosi chake wanatusaidiaje?! Tumbueni rekebisheni bei za vyakula, petroli na nini, ama sivyo haina maana kwa kweli...
 
Nyie ndio wale wale ambao bado mnaishi kwenye zama za kale.Tanzania mpya imepatikana,Mambo yamebadilika sasa wewe usiyetaka kwenda na biti unalia lia hapa.Wote waliofanya madudu watafikiwa tuu ni swala la muda tuu.mmoja baaada ya mwingine
Tanzania mpya lakini utaratibu bado niuleule wakutokua makini katika ufanyaji wa maamuzi.Navyofaham usafirishaji wa makontena ya madini umekuwa ukifanyika kwakufuata taratibu zote halafu najojua mimi accia hupata 1.8 trioni kwa mwaka lakini JPM anasema wanapata 18 trioni kitu ambacho kinaashiria kua huu ndio mgodi mkubwa zaidi duniani.Hivi kosa Muhongo ni lipi hasa?
Lakini namsifu Rais kwa hatua nzuri na yakizalendo alioichukua ya kuunda tume TMAA ilikujiridhisha katika kiwango cha madini wanayo safirisha kila siku.Na isiishie hapo tu awafungulie kesi (Arbitration Court) ya wizi ambao wamekua wakiufanya tangu walipo ingia Tz ilitulipwe hela zetu.
Tutaendelea kuyaamini matokeo ya tume mpaka hapo watapo fanya research nyingine iliwakanushe matokeo ya hii report.
 
Hongera sana Hon.President John Pombe Joseph Magufuli

Kudos Mr President

I am happy to work under your administration

Such a patriotic President

Big Up Mr President

Taifa Kwanza.....Imekuwa ni kilio cha muda mrefu kuwa makampuni haya yanaiba madini kupitia hayo makontena

Kwa mara ya kwanza umefanya uamuzi sahihi kwa kufuata ripoti za kitaalamu.

Sitarajii hata siku moja ACACIA watakubali kuwa walikuwa wanaiba

I love my Country....I love my President
 
Tanzania mpya lakini utaratibu bado niuleule wakutokua makini katika ufanyaji wa maamuzi.Navyofaham usafirishaji wa makontena ya madini umekuwa ukifanyika kwakufuata taratibu zote halafu najojua mimi accia hupata 1.8 trioni kwa mwaka lakini JPM anasema wanapata 18 trioni kitu ambacho kinaashiria kua huu ndio mgodi mkubwa zaidi duniani.Hivi kosa Muhongo ni lipi hasa?
Lakini namsifu Rais kwa hatua nzuri na yakizalendo alioichukua ya kuunda tume TMAA ilikujiridhisha katika kiwango cha madini wanayo safirisha kila siku.Na isiishie hapo tu awafungulie kesi (Arbitration Court) ya wizi ambao wamekua wakiufanya tangu walipo ingia Tz ilitulipwe hela zetu.
Tutaendelea kuyaamini matokeo ya tume mpaka hapo watapo fanya research nyingine iliwakanushe matokeo ya hii report.
huyu huyu muhongo wa ESCROW mnamtetea..sio bure mmelaaniwa
 
Maamuzi mengine yana madhara makubwa, bora kuwa na subira na kufuata taratibu stahiki. Hapa ICC inaisubiri tanzania. kodi zetu zinasubiriwa
ICC ni nini?? Ishu ni simpo, shauri likienda mahakamani so kwa msuluhishu, bila shaka itaundwa tume nyingine huru ambayo itakuwa inawakilisha pande zote kwenye mgogoro.
 
Subiri report ya pili kutoka kwenye tume ya pili inayomalizia kazi, halafu watanzania wa ajabu sana ukiwemo wewe, ninyi ndiyo mlikuwa mna lalamika mikataba mibovu ifanyiwe Marekebisho hasa hii ya Madini. Sasa utafanyaje Marekebisho bila kuwa na sababu za msingi kufanya Marekebisho hayo? Tunachokifanya sasa ni kukusanya ushahidi ili tuivunje kabisa mikataba hiyo ikibidi. Hatuwezi kuendelea kuwa waoga kwa mambo ambayo tuna haki kabisa nayo. Mmetuchosha sana ninyi vibaraka wa wezi wa kizungu
sitaongea maneno mengi mkuu,unaikumbuka kamati teule ya mwakyembe iliyochunguza sakata la richmond?unajua tulishindwa ile kesi kwa kufuata ujinga wa mapendekezo ya mwakyembe?
Subir
 
Uchunguzi uliofanyika, kwa kiasi kikubwa ukiangalia presentation summary, umefanyika kienyeji sana, halafu tukakimbilia kutoa hitimisho.
Hii report kama tungeipata yote tungeangalia method iliyotumika, data

statistical variability analysis, number of samples zilizochukuliwa, QAQC report ambayo pia ingeonesha intruments accuracy and human efficiency.

Nitashangaa sana, kama kweli kampuni kama Barrifk/Acacia wanaweza kufanya ujinga wa kiwango cha juu kama ulivyosemwa na Kamati

Kwa jambo ambalo lina athari kubwa sana kwa stakeholders na industry nzima kama hili, kitaalam, samples zilitakiwa kupelekwa kwenye maabara angalao tatu ambazo
zimehakikiwa kimataifa. Hatujui maabara gani iliyotumika

Kuna wakati nimewahi kupeleka samples zangu maabara yetu ya kizalendo SEAMIC
Dar, nilichokipata sikuamini, nikalazimika
kupeleka SGS na ALS South Africa, majibu yakawa tofauti kabisa lakini maabara mbili za nje, majibu yalifanana.
Mimi.pia natilia shaka sana kile wakemia wamefanya. Haya maelezo yako yamenitisha sana na ndivyo itakavyokuwa! Hawa wakemia wamemwingiza mkemia mwenzao chaka! Ila maumivu yatabaki kwetu wananchi!
 
Kare kajamaa ni kaongo sana..
Rinachezeaga akili za watanganyika rionekane yeye ndo "mkombozi"..
Yaani siamini kama kuna watanzania wenye roho mbaya sana kama wewe na wenzako. Yaani rais na timu yake wamejitolea kutoa muhanga maisha yao wewe unabeza. Tangu lini mzumngu akawa mkweli??? Mbona wazungu wamekuwa na long–term strategy ya kutushusha kiuchumi ila wewe mbwa unashangilia. Yaani I wish watu kama wewe tuwatafute tuwaue kwa kuwachinja
 
Subiri report ya pili kutoka kwenye tume ya pili inayomalizia kazi, halafu watanzania wa ajabu sana ukiwemo wewe, ninyi ndiyo mlikuwa mna lalamika mikataba mibovu ifanyiwe Marekebisho hasa hii ya Madini. Sasa utafanyaje Marekebisho bila kuwa na sababu za msingi kufanya Marekebisho hayo? Tunachokifanya sasa ni kukusanya ushahidi ili tuivunje kabisa mikataba hiyo ikibidi. Hatuwezi kuendelea kuwa waoga kwa mambo ambayo tuna haki kabisa nayo. Mmetuchosha sana ninyi vibaraka wa wezi wa kizungu
Subir
hapo ndipo unachemka,uzalendo uchwara unaku-blind,go back into history utanielewa,sasa hivi hauna sober mind sababu umejazwa gesi na akina mruma eti mnaibiwa sana!!!!!!
 
Think twice.

Capitalists always will exploit you.

Hapa cha maana ni kukataa huu upuuzi wa wazungu koko.
Mara ya kwanza walisema hakuna thamani yoyote ya mchanga then, overnight wanakuja kusema mchanga una thamani japo siyo kubwa sana kama ambayo report imetaja.

It's crazy and a double standard ways of doing things.

Labda, mimi tatizo ninaloliona hapa ni kwamba, both of us we did a childish game for signing those contracts in darkness.

Lack of transparency.

I will never ever blame wazungu yet we are the ones who are very stupid
First get the contract they signed then i will get back for the discussion
Huyo Makomeo mwenyewe kadandia treni kwa mbele, hata idadi ya makontena nae alikuwa anatubadilishia kila siku, leo idadi hii, kesho idadi nyingine

Makomeo alibadili kamati ya uchunguzi ili aweze kuikalia kichwani, wafanye atakavyo yeye, it was better for huo mchanga kuondoka na sisi kulipwa than mchanga kubaki yet hatuwezi kuufanyia chochote, and trust me wazungu wakija na data zao plus evidence tutaenda kuwalipa fidia big time, kama sasa hivi tunanunua kilo ya unga 2500 basi tutakuja kununua 4000 maana sio kwa hizo ela tutakazozitoa
 
Umenena vyema. hata hivyo kuna utaratibu wa kufuata, si kwa utaratibu huu uliofanywa. Naamini makontena ya mchanga yataendelea kusafirishwa tu. Zingine ni siasa
Kusafirisha siyo ishu muhimu ijulikane kilichomo, tupate chetu na wao wapate chao
 
Back
Top Bottom