Recent content by Prophet

  1. Prophet

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Azam na utaratibu wa kizamani

    4. Aruhusu kulipia huduma kwa mobile money. Kama unaweza kukata tickets online kwanini mpaka leo hajaweka huduma ya kulipia kwa mobile money?
  2. Prophet

    JamiiForums Tanzania Tunda walilokula Adam na Hawa ni tunda gani?

    Ni hili hapa
  3. Prophet

    JamiiForums Tanzania Kwa wimbi hili la Watanganyika kuhamia Zanzibar, tujiandae wazanzibar kupoteza utambulisho wetu ndani ya miaka kumi ijayo

    Wao kila kitu kina anza na zan, hii itakuwa zanexit
  4. Prophet

    JamiiForums Tanzania Hili jengo hapa Dodoma karibu na posta mbona limetelekezwa?

    Ilikuwa inasemekana limejengwa chini ya kiwango. Hata lile la pale bunge sasa kuna tawi la benki nalo lilikuwa kama hilo na lilishaendelezwa. Hata hilo inasemekana limenunuliwa na wizara fulani na linatengenezwa
  5. Prophet

    JamiiForums Tanzania Ndalichako aingilia kati wanafunzi waliofutiwa usajili UDSM

    Kipi no bora zaidi ya UDSM kwa mtazamo wako? Weka na takwimu pia
  6. Prophet

    JamiiForums Tanzania Kama Mo angevaa apple watch kama Khashoggi tungejua watekaji akina nani

    Yeye alijua kinachoweza tokea ndomaana akaweza set record na simu akaiacha. Mo ilikiwa ni kustukiza, hata angevaa asingerekodi, achilia mbali wangemvua na kuizima kama si kuiharibu
  7. Prophet

    JamiiForums Tanzania Mkasa wa kweli: Kisiwa cha harishi

    Nashangaa mpaka wanabaki wawili wanashindwa kumvizia anapokuja waifunge chupa. Anyways, ndo watakachofanya.
  8. Prophet

    JamiiForums Tanzania jibu la Adhana hili hapa

    Tatizo ninaloliona mimi ni pale mtaa mmoja unapokuwa na misikiti mitano na wote wanashindana kuadhini. Wangekuwa walau wanachagua msikiti mmoja tu ndo uadhini na waamin wanaenda nyumba za ibada. Pia kuna waadhini wastaarabu bana, sauti ya taratibu na haina bugdha, tatizo ni wale wanaotoa...
  9. Prophet

    JamiiForums Tanzania Sportpesa kukarabati nyumba ya madaktari Zanzibar

    Hivi zanzibar wanakubari pesa za kamari kumbe
  10. Prophet

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utalii wa Kenya waongezeka kwa asilimia 20% pamoja na chokochoko za uchaguzi

    Utakuwa umeongezwa na utalii wachokochoko za uchaguzi. Watalii walienda kujionea chokochoko za uchaguzi tu
  11. Prophet

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Kesi ya Joseph Mbilinyi(Sugu) na Masonga yaunguruma! Warudishwa rumande mpaka Februari 9, 2018

    Hivi wakali msomi anakuwa na sifa zipi ? Na wasio wasomi wapo vipi pia ?
  12. Prophet

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Slot yake ina atleast team mbili. Bila shaka ulimaanisha ATMOST TEAM MBILI
  13. Prophet

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu timing ya kumpa ujauzito mwanamke

    Download app inaitwa maya. Itakusidia. Jinsi ya kuitumia jifunze ni rahisi sana
  14. Prophet

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiishi na Housegirl kwa namna hii; hakika atafikisha hata umri wa kuolewa akiwa kwako na umuoze mwenyewe!!

    Umetoa somo zuri sana kwakweli
  15. Prophet

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimegundua siri kubwa ambayo bloggers wakubwa hawaisemi

    Blogging ni kuweka ujuzi na taarifa wazi kwa watu. Hata hicho unachosema umegundua kingepaswa kuwa post(s), sasa kama huwezi andika kitu kaa hicho ambacho wewe umekisoma kutoka kwa mtu aliyekiweka wazi napata shaka kuamini wewe ni blogger. Huko huwa unaandika nini? Au posts za uchoyo? No...
Back
Top Bottom