Recent content by Promethazine

  1. Promethazine

    Mpenzi wangu ananidekeza kinoma Mazee!

    Oa huyohuyo. Mimi mwanamke Mjuaji simtaki kabisa.
  2. Promethazine

    Kama nitaoa, nitaoa aina hii ya Mwanamke!

    Hongera mkuu yaani naona upo kwenye process ya kuchagua mke
  3. Promethazine

    Mpira na pombe ni starehe ambazo zimenishinda

    Of course napenda sana madem, na ndio ugonjwa wangu.
  4. Promethazine

    Ulevi wa totozi ni mbaya kuliko ulevi wa pombe

    Na ndio ulevi mgumu sana kuacha.
  5. Promethazine

    Ni kweli Wastara anatudanganya kuwa yupo hospitalini India?

    Mimi na nursing yangu ndogo 1.Sijawahi kuona cannular ikielekezewa upande wa vidole, blood flow hairuhusu kitu hicho ukilazimisha ganglin itatokea. 2.Cannular huwa hairundikiwi plasters kijinga hivyo, kuna namna ya kuibana ili kuruhusu venous flow. 3. Hakuna straight line itayopatikana...
  6. Promethazine

    Series Kali isiyochosha wala kukinai Tafadhali!

    Tafuta The brave 24 legacy
  7. Promethazine

    Amekosa ada, anataka kuishia certificate

    Wakuu za mida hii Kuna mtu mmoja anasoma nursing diploma ila kakosa ada ana mpango wa kuishia certificate, je hii itafaa? Ataweza kuajiriwa? Chuo kina utaratibu wa kuzuia watu ambao hawajamaliza ada kutofanya mitihani ya mwisho, sasa anahofia atazuiliwa kufanya mitihani siku ya mwisho awe...
  8. Promethazine

    Ushauri: Ukitaka kuwa competent kwenye field fulani tafuta maarifa siyo elimu

    Ushauri mzuri sana mkuu ndio maana huwa naishi kwenye kutafuta maarifa na kudevelop contingencies
  9. Promethazine

    Amekosa ada, anataka kuishia certificate

    Sasa ugumu ni pale wanapokuja kuzuia kufanya mtihani
  10. Promethazine

    Amekosa ada, anataka kuishia certificate

    Wakuu za asubuhi, niende moja kwa kwenye mada. Kuna rafiki yangu anayesoma Diploma in nursing mwaka wa pili sasa kanielezea hali ifuatayo. Aliamua kusoma Diploma hiyo baada ya wazazi wake kuweka uhakika wa kumsomesha, kweli walimsomesha mwaka wa kwanza ukaisha, changamoto imekuja kwenye ada...
  11. Promethazine

    Uzi wa kutupia picha za wanaume mahandsome!!!

    Ngoja nione watu wanavyojitutumua.
Back
Top Bottom