Mzungu hawezi kumfanyie whiteman mwenzie ukatiri wa moja kwa moja wa namnaa hii, mtu mweusi mbinafs na ni mtu msahaulifu sana, ndo mana tulitawaliwa kirahis na bado tunashindwa kujiletea maendeleo.
Wewe ndo utakua around 20s na hao wanawake ndo around 40s, howcome a gentleman wa miaka 40+ awe driven emotionally na watoto wadogo tena mabinti wa umri wa hata kuwazaa.
Yaan unafananisha kizazi kile na hiki kinachoendeshwa na propaganda, undergraduate hana skills yoyote na hana uhakika kile alichohitimu chuoni, kuwa serious kwasasa kuna generation mbovu kabisa ambayo inaweza kuburuzwa sio kuongozwa tu na yoyote yule.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.