Recent content by profkobayashi

  1. P

    JamiiForums Tanzania Lowassa alazwa Ujerumani, afanyiwa upasuaji mkubwa

    Tunataka ushahidi wa picha sio hizi blah blah
  2. P

    JamiiForums Tanzania Title & Subtitle Deeds

    Duh wabongo nuksi! zamani ilikuwa waswahili ndio wanaoingizwa mjini na wadosi na waarabu leo hii mwambulukutu anamuingiza mjini PATEL? Anyway majibu ya maswali yako yako kwenye hii article: Unit Title is a type of property ownership where home owners own a defined part of a building such as...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete amteua Prof. Mussa Assad kuwa CAG mpya akimrithi Ludovic Utoh

    Kimya cha PASCO kwenye huu uzi kinasema mengi kuliko majibu
  4. P

    JamiiForums Tanzania Ufisadi wa Blandina Nyoni huu hapa!

    Vipi huyu kashatoka jela au anatolewa desemba kwenye listi ya msamaha wa rais?
  5. P

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete safarini UK na China

    Sina hakika akishatoka UK anaunganisha China au anarudi kisha china Nimeona kwenye Africa news 24 Naona hizi ni farewell trip tena maana kabakisha miezi 12 tuu
  6. P

    JamiiForums Tanzania Makosa Makubwa 3 ya Diamond ni haya

    DIAMOND ANA MAKOSA 3 MAKUBWA ALIYOTUTENDEA WATANZANIA: 1.Kosa la kwanza ni KUWA NA BIDII KWENYE MUZIKI WAKE...Hili ni kosa kubwa sana kwa Watanzania..Hakupaswa kuwa na bidii hivi..Angekuwa tu wa KAWAIDA kama wenzake waliopita ili AFULIE awaachie na wengine waje kwenye chati arudi Tandale kuuza...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Tibaijuka:'' mradi wa Nyumba za NSSF Dege Eco Village Kigamboni ni wa Wizara yangu''

    Hivi kwa nini huyu mama anawaambia watu hapa Dodoma kuwa mradi wa NSSF wa DEGE ECO VILLAGE ni wa wizara yake Hivi huyu mama anataka kutufanya wajinga kiasi gani? Wizara yake wameshindwa kufanya chochote na mradi wao wa kigamboni uliojaaa ma powerpoing na gimmicks sasa hivi anadai mradi huu...
  8. P

    JamiiForums Tanzania How James Rugemalira outsmarted the Government of Tanzania (GoT)

    I miss MWANAKIJIJI I miss JAMBO FORUMS
  9. P

    JamiiForums Tanzania Hivi Wakenya wametushinda nini?

    hivikwa nini hizi multinationals zinaenda nairobi na sio dar?
  10. P

    JamiiForums Tanzania Membe: Jeshi letu linaongoza barani Afrika kwa Uimara!

    nalaumu lazy and stupid journalists wetu hivi hatuna defense correspondences wanaojua haya mambo wakauliza maswali magumu? mbona tunapelekana kama watoto wadogo?
  11. P

    JamiiForums Tanzania Prof Shivji Ampa Darasa Mzee Warioba, wajumbe wa bunge la katiba someni ili msiyumbe...

    tofauti kati ya Shivji na ma critics wake humu JF ni kuwa yeye akiongea ana back up hoja na evidence hii inanikumbusha Mohammed Said utamchukia weee lakini anao ushahidi sasa huwa ngumu sana kuongea na mtu dizaini hiyo bila kuwa na nondo I miss JAMBO FORUMS....ilikuwa ukisema jambo lazima uje...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Prof Shivji Ampa Darasa Mzee Warioba, wajumbe wa bunge la katiba someni ili msiyumbe...

    issa shivji ni national treasure Angekuwa USA angekuwa kwenye league moja na akina Noam Chomsky na Paul Krugman
  13. P

    JamiiForums Tanzania Prof. Shivji aukosoa Mchakato wa Katiba Mpya, aliponda Bunge la Katiba

    Tunaomba afungue website na awe na youtube channel yake huyu mtu ni hazina sana nchi hii
  14. P

    JamiiForums Tanzania Kwa nini serikali ya TZ inamwogopa sana Prof Issa Shivji?

    Mwenye kujua siri hii naomba atufungue Huyu hana vifaru Hana TISS Hana jeshi Hana pesa lakini katika watu ambao serikali ya nchi hii inawaogopa sana nadhani huyu Professa wa Sheria atakuwa namba 1 Hivi Prof Issa Shivji anayo website ambayo tunaweza kupata makusanyo ya articles na academic...
Back
Top Bottom