Tibaijuka:'' mradi wa Nyumba za NSSF Dege Eco Village Kigamboni ni wa Wizara yangu''

profkobayashi

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
224
71
Hivi kwa nini huyu mama anawaambia watu hapa Dodoma kuwa mradi wa NSSF wa DEGE ECO VILLAGE ni wa wizara yake

Hivi huyu mama anataka kutufanya wajinga kiasi gani?

Wizara yake wameshindwa kufanya chochote na mradi wao wa kigamboni uliojaaa ma powerpoing na gimmicks

sasa hivi anadai mradi huu wa Kigamboni ni wa kwake

Tibaijuka angekuwa mkweli tungemwona kwenye hii video hapa chini
Sasa naelewa kwa nini hivi video zinapigwa vita kwani ni ushahidi tosha kabisa
 
Last edited by a moderator:
Alijisahau tu alidhani hata NSSF ipo chini ya wizara yake.
 
Huyu mama hana nyimbo kabisa...... Kajaa mizengwe tuu.Sijui kwa nini hafutwi kazi

Hivi kwa nini huyu mama anawaambia watu hapa Dodoma kuwa mradi wa NSSF wa DEGE ECO VILLAGE ni wa wizara yake

Hivi huyu mama anataka kutufanya wajinga kiasi gani?

Wizara yake wameshindwa kufanya chochote na mradi wao wa kigamboni uliojaaa ma powerpoing na gimmicks

sasa hivi anadai mradi huu wa Kigamboni ni wa kwake

Tibaijuka angekuwa mkweli tungemwona kwenye hii video hapa chini
Sasa naelewa kwa nini hivi video zinapigwa vita kwani ni ushahidi tosha kabisa
 
Last edited by a moderator:
Halmashauri ya Kigamboni inabanana kwenye kijijumba la kuishi familia Mmoja -kimeshindikana nini kupitia Nssf kuchukua moja za Majengo yale na kuyagezuza kuwa ofisi za Halmashauri?
 
Back
Top Bottom