ROBERT MICHAEL
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 5,054
- 2,873
Kwahyo COW hawatapeleka jeshi lao.
kwa wachache msiojua mchezo wa karata tatu.salva+china=tanzania+china.
wakuu hii habari ya uimara wa tpdf acheni tuu.sio habari za utani utani kama tunavyosimuliana hapa jf.leo nillipiga story na retired tpdf officer mmoja nyumbani kwake ,ambaye alilitumikia jeshi kwa miaka mingi ktk kushiriki ops mbalimbali nje ya nchi.akaniambia bwana mdogo achana kabisa na jeshi la tz.akaniambia kuna unit moja hatari sana ipo jeshini, hao jamaa hawana familia(mke/watoto).wapo elart 24/7 kimapigano.......acha niishie hapo mengine aliyo niambia ni siri yangu.
Mkuu hata mimi nilikutana na huyo retired officer kwenye dala dala akasema hao jawaa sio tu wap tayari kimapigano bali hata chakula hawali wala hawajawahi kunywa maji....kweli TPDF wanatisha, wanaJF wasifikiri ni maskhara.
hata kama ni kweli sidhani kama ni kama ni sahihi kujitapa mbele ya kadamnasi, kauli ina taswira ya ubabeubabe, inaweza kutusababishia kuchokozwa, nadhani nguvu ya jeshi aidha ni kubwa au ndogo inapaswa kuwa siri.
Usiri ni mbinu muhimu ya ushindi, sio jeshini tu...
Haya si mambo ya kusema hadharani. Na timing yake ni mbaya sana maana ni jeshi hili hili limezua tafrani kwenye operation Tokomeza.
Sasa mbona wananchi wenyewe waoga hivi wakati ndo wanajeshi wetu wanapotoka.
Kweli kabisa! Diplomasia Membe! Kwa Wajita, Waruri, membe ni fisi, isije ikawa jina hilo linamlenga fisi yule maarufu wa porini na tabia zake.ni kauli isiyo ya kidiplomasia toka kwa mwana diplomasia, hata suala la ziwa kwani uamuzi ni siri ya hao wazee
Na tunachapa kwel c utan wacha watu waingie kwenye 18 zetu waone
Hizi ni sifa za kijinga. Wanaokufa siyo watoto wa UN. Ni watoto wetu, Kaka zetu na Baba zetu. Wanaobaki yatima na wajane ni Watanzania wenzetu.