Recent content by professional ethics

  1. P

    Nisaidieni ushauri kuhusu pesa ya kujikidhi(boom) niliyokuwa naitunza

    Wakuu mdogo wenu nipo njia panda, naomba ushauri wenu. Mimi ni wanafunzi wa mwaka wa tatu hapa Duce nachukua bachelor of science with education biology na geography. (Umri wangu ni miaka 23) Wakuu nimetunza boom toka nipo mwaka wa kwanza hadi sasa na milioni nne na laki Saba kama reserve yangu...
  2. P

    Machozi, huzuni hakika usiku ngumu sana kwangu huu

    Africa ni wewe ulie barikiwa madini ya thamani, lakin raia wako ni maskini wakunuka katika utajiri wa kutuputwa. Ni wewe Africa ulie na wingi wa mito, bahari na maziwa lakini raia wako hawana usalama wa maji Safi, Africa wewe mwenye viongozi walafi tena wasio na utu, nani kakuroga Africa. Ni...
  3. P

    Mauaji ya wabeba mkaa maarufu 'booster'

    Yaani maliasili wanaua raia tena wa Tanzania kwa sababu ya mkaa Yani charcoal. Roho Yangu imeniuma sana, hivi sisi ww Africa nani alie turoga? Au sisi sio binadamu kamili?
  4. P

    Mauaji ya wabeba mkaa maarufu 'booster'

    Ko hapo majizi wa mali za umma he? Kuzaliwa Africa hasa tz mi laaana
  5. P

    Nimeumia sana

    Ukipitia threads mbalimbali hapa JF, Unaweza dhani Wana JF wana upendo kwa taifa na vijana, binafsi nilikuwa naona JF ni jukwaa mahususi kwa kuwejenga vijana na taifa bora. Jambo la ajabu sana, siku ya jana nimepost Uzi juu appreciation yangu kwa Dkt. Haya Land, WanaJF wengi wameni-attack na...
  6. P

    Uliza swali lolote linalohusu taaluma au nafasi za taaluma (academic positions)

    Bado mwanafunzi, nipo mwaka wa tatu, kozi (bachelor of science with education biology and chemistry).
  7. P

    Uliza swali lolote linalohusu taaluma au nafasi za taaluma (academic positions)

    Napenda hapa hapa Tanzania, japo Kwa abroad natamani sana na kwenda mataifa ya ukanda Scandinavia.
  8. P

    Barua ya wazi kwako, Dr. Haya Land

    Kwako Mkuu Dr, Binafsi Mimi ni Kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 23, mwanafunzi mwaka wa tatu moja ya a chuo kikuu hapa jijini (DSM), binafsi Dr, naona wewe ni mtu humble, passionate na mwenye utu sana. Dr Haya Land, mm binafsi naona na mengi sana ya kujifunza Toka kwako hasa inje ya...
  9. P

    Uliza swali lolote linalohusu taaluma au nafasi za taaluma (academic positions)

    Please, naomba unipe abc za kupata sponsorship kwa level ya Master
Back
Top Bottom