Recent content by profesa.n.

  1. P

    BBT waanza mafunzo, hii ni safari ya kuelekea katika kilimo cha biashara

    Nakubaliana na ww asilimia 100%,tatizo tulilo nalo zaidi tanzania ni la SOKO na siyo mafunzo,elimu wanayoitoa leo Dodoma ingefaa kutolewa zaidi mashuleni kilimo kikipewa kipaumbele kama sehemu ya mafunzo ya lazima kwa vijana,tunachakula kingi lakini hatujui njia bora za KUHIFADHI,NAMNA BORA YA...
  2. P

    Jokote Mwegelo: Msipandishe bei ya Vyakula

    Jokate unaelewa maana ya kilimo ni biashara?unajua theory ya demand & supply,kilimo syo rahisi hivyo kama unavyodhani ni lazima watu waweke stock wafanya biashara wauze baadae bei ikiwa rafiki
  3. P

    Wajuzi kwenye biashara ya mazao

    mkuu unapatikana wapi tuzungumze namba zangu ni 0624007100,nipigie tufanye bness
  4. P

    CHADEMA walivyorejesha fomu za ubunge Kinondoni kwa mbwembwe

    Huwenda mambo yatakuwa yamebadilika sana na mambo yapo sawa,ngoja tuone jinsi mambo yalivyo
  5. P

    CCM hakuna sababu ya kufanya kampeni 2020 tunahitaji kupita bila kupingwa

    Tatizo lanchii hii nikujipendekeza kwa vijana wengi na kuwaachia wazee wajenge Uchumi wataifa hili yaani ndo tatizo linaloikabili hii nchi kwa sasa,mawazo finyu yanamna hii mtafanya nchi ya viwanda iwe historia
  6. P

    TCRA huu uhuni wa mitandao ya simu mtaukalia kimya mpaka lini?

    Kama swala Halotel limekuwa la kihuni zaidi wamepunguza vifurushi kwa zaidi ya 70%,na bado wanajinadi wamelenga kutoa Huduma kwa gharama nafuu,Halotel inamilikiwa na Vietnam huwa ni wajanja xana
  7. P

    Kusema kwamba Rais Magufuli hashauriki wala hapendi kusemwa ni kumuonea tu mtumishi huyu wa watanzania

    Ningeshangaa kama ungeandika bila kuweka jina lako na namba za Simu hapo chini,u DC na RC unatafutwa kwa udi na uvumba kwenye swala linalo wahusu watumishi wa kiroho huwa spendi sana kuyazungumzia nisijepata laana bure,hakuna ajuaye ni ufunuo gani alio upata mpaka akaamua kusema hayo aliyo yasema
  8. P

    Moses Machali: Askofu Kakobe siyo mchungaji wa kiroho

    njaaa ni mbaya kuliko maelezo,njaaa husababisha ukoma wa akili,machali unaugua ugonjwa mbaya sana kifikra jitathimini upate tiba mapema
  9. P

    Yaliyojiri: Uhesabuji Kura na Utangazaji Matokeo katika Chaguzi Ndogo kwenye Kata 43 - Novemba 26, 2017

    Ningeshauri 2020 vyama vya upinzani wasisimamishe wagombea waache CCM waende bungeni wapishane pale ndani na kushangaa Yale majengo ya bunge jinsi yalivyo,ila kiukweli chachu ya democrasia ya Tanzania ina elekea kuwa ukakasi siyo kawaida kabisa
  10. P

    Moshi Mjini: UVCCM wamvamia mgombea udiwani Kata ya Bomambuzi na kumjeruhi

    kipindi kama hichi cha uchaguzi ni vyema CDM wakaongeza ulinzi kwa wagombea wao ili mambo yaweze kwenda sawa
  11. P

    Spika Ndugai adai hajapata barua ya kujiuzulu kwa Nyalandu, anamtambua kama mbunge wa CCM. Adai akija Bungeni atampokea

    Barua za madiwani kujiuzulu wa chama pinzani huwa zinawafikia kwa kasi mno ila hizo za chama tawala na dola haziwafikii zinawapigaga upofu tu,nasema ndo mwanzo wa wengine kutoka ccm na Lusaka ukombozi wa kweli kuna BASHE Naye anachelewa sana kwa kweli ajitaidi aje upande wa pili awe mfano wa...
  12. P

    Kumbe Lazaro Nyalandu anakimbia mambo !!

    alicho kionyesha Nyalandu ni Nyumba inayoungua ndani na moshi unafoka MKUBWA mno ndo amefungua pazia hivyo
  13. P

    Zitto Kabwe ananikwaza sana, simuelewi anafanya siasa zake kwa maslahi ya nani?

    msalimie Jerry muro mwambie kilio chake na njaaa yake tumeiona nafile lake linafanyiwa kazi,Tukutane magogoni anytime
  14. P

    Nani Ndani Ya TRA Ananufaika na Kampuni Ya Yono Mart

    Leo nimefurahi sana kwa wadau wa JF kuliona hili swala,nilisha wahi kujiuliza kunatofauti gani kati ya YONO na TRA mbona kama wanafanya kazi zinazofanana!!lakini kinacho sikitisha zaidi nitabia ya kuviziana waliyo nayo YONO wao huwa wanapenda sana kufilisi kuliko maelezo wao hawana notes to...
Back
Top Bottom