Wajuzi kwenye biashara ya mazao

Wajuzi kwenye biashara ya mazao

Elungata, mkuu karanga za maganda debe moja linaanzia 5000. unatumia ndoo ya mzambiki. gunia moja la maganda ukiwa unapima vizuri linatoa kilo 33. ndugu yangu kama una mtaji unaweza kuni ajiri.
 
Elungata, mkuu karanga za maganda debe moja linaanzia 5000. unatumia ndoo ya mzambiki. gunia moja la maganda ukiwa unapima vizuri linatoa kilo 33. ndugu yangu kama una mtaji unaweza kuni ajiri.
Mkuu check comment zangu #35 na #38 unipe ufafanuzi zaidi.
 
Elungata, mkuu karanga za maganda debe moja linaanzia 5000. unatumia ndoo ya mzambiki. gunia moja la maganda ukiwa unapima vizuri linatoa kilo 33. ndugu yangu kama una mtaji unaweza kuni ajiri.
mkuu unapatikana wapi tuzungumze namba zangu ni 0624007100,nipigie tufanye bness
 
darubin. mkoa tabora wilaya ya kaliua,jimbo la ulyankulu.vijiji vingi.kuna mnange. ukungwe. ipeja. uyoa. kona nne. usafiri unapatikana mkuu. changamoto kupata mtu mwaminifu pia mzoefu wa kazi. mie nimeifanya na ndungu yangu zaid ya miaka 3. changamoto zote nazijua pia hata masoko ya kuuzia karanga nayafahamu.
 
Safi sana mkuu
 
Mkuu sasa hivi bei zikoje huko kaliua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TopUp. Kwa sasa sipo mkoa wa tabora, msimu wa kuvuna karanga ni wa pili mwishoni karanga zinakuwa nyingi sana, bei huwa inaanzia buku 5 na kuendelea. Kwa mtu ambae ana mtaji tunaweza kushirikiana mimi nikiwa kama wakala wake wa kukusanya mazao.uaminifu ni silaha yangu kubwa katika maisha.
 
TopUp. Kwa sasa sipo mkoa wa tabora, msimu wa kuvuna karanga ni wa pili mwishoni karanga zinakuwa nyingi sana, bei huwa inaanzia buku 5 na kuendelea. Kwa mtu ambae ana mtaji tunaweza kushirikiana mimi nikiwa kama wakala wake wa kukusanya mazao.uaminifu ni silaha yangu kubwa katika maisha.0622310464
poa ngoja nitakucheki
 
Luna ndugu yangu alikuwa ananunua mahindi meeengi kipindu cha mavuno halafu anayapiga dawa na kuyahifadhi mpaka yatakapoanza kupanda bei ndo anayauza lakn aliacha sijui ata sababu ilikua ni nini..... Ngoja nkamuulize akinipa jibu ntarudi apa
Hii idea ni nzuri sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunanunua mahindi kwenye kiwanda Cha chakula Cha kuku kibaha-miembe Saba.
Kiasi Ni mengi kadri utakavyosupply.
Ubora wa mahindi yako ndo tunachokizingatia,
1.moisture
2.impurity
3.density

Mahindi yawe Bora Sana. Kwa maelezo zaidi njoo PM.

QUALITY ENGINEER

Sent using Jamii Forums mobile app
 
@TONYLOVE,ishu zinapatikana kwa wingi?,au ndo unatafuta nyumba kwa nyumba,au zinauzwa minadani?
 
Elungata. karanga zinapatikana kwa wingi hasa siku ya minadani, jumamosi na juma tano, hizi siku ukiwa na mtaji mkubwa pia na madalali wengi unanunua mzingo wa kutosha hata gunia 200 za maganda unapata kwa siku moja lakin bei inakuwa ya mnadani kulingana na bei iliyopo masokon.
 
Mimi binafsi nimewaza sanah kuhusu ufuta! Ila sijawahi kufanya,mwny uzoefu atusaidie
 
Back
Top Bottom