Ijumaa, Agosti 24, 2012 05:48 Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
ALIYEKUWA Waziri wa Fedha, Basil Mramba, ameiambia mahakama kuwa mkataba kati ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) na Kampuni ya Alex Stewart, ulisainiwa bila kujadiliwa na Baraza la Mawaziri wala Mwanasheria...