Recent content by prof.mutunga

  1. P

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa anastahili kuheshimiwa

    Huyu daktari amekuwa akitunwa kwa uadilifu na misimamo yake thabiti.Hili kundi la lowasa halithamini hata mchango wa slaa.Nawashauri wamwache slaa wao kama wanajiamini waendelee na harakati zao, heshima ni utu c pesa. But history will one day talk slaa.
  2. P

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Nitamzungumzia Dk. Slaa muda ukifika

    Nashangaa hawa prolowasa na prombowe hawachoki kumjadili mzee slaa. Jamani jengeni chama chenu slaa hawezi kuchangamana na genge la wapiga dili.
  3. P

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa anastahili kuheshimiwa

    Buku saba c pesa
  4. P

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa: Uongo ni dhambi na siko tayari kuishiriki!

    Binafsi baadhi yetu tuliopata kuwa karibu na slaa naweza kusema alijitoa mhanga kukijenga CDM. Alikuwa tayari hata kushinda njaa ila lengo la ukombozi litimie, leo hii anatukanwa na vjana waliokuja na Lowasa CDM inaniuma saana ila najua mungu atamlipa...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa: Uongo ni dhambi na siko tayari kuishiriki!

    Man will stand and die by his true principles, bora Dk.Slaa aendelee kusimamia misingi yake
  6. P

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    njombe mjini cdm tayari ushindi
  7. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume single ni wambea sana na wachonganishi

    Sikubaliani na wewe one 9t nilienda club na ex wangu, kufika kule kuna jamaa ni mtu mwenye familia kutuona ikawa tabu
  8. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hali ya Heaven On Earth: Anayefahamu atujuze.

    Duh! pole kwa HOE Kama hawajamrape
  9. P

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mahakama Kuu: Usikilizwaji wa UAMUZI wa pingamizi la Zitto dhidi ya CC ya CHADEMA

    Zitto ni mnafiki aliyevaa ngozi ya kondoo green snake in green grass
  10. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yaliyonikuta nilipoenda kupima hiv juzi tar.30

    Vijana tuwe makini yasiwakute maana siku ya kwenda angaza ndio mtajutia njia zenu mbaya
  11. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yaliyonikuta nilipoenda kupima hiv juzi tar.30

    Kwanza sikuwa na haja ya kupima maana njia zangu hazikuwa nzuri ila nlipolazimishwa na bibie nikajikaza kufika angaza mara mkojo,mara kuharisha mpaka wife akanza kushtuka dakika kumi za kusubiria majibu nlimalizia msalani jamani hili gonjwa noma nimeambiwa niko pouwa ila after3 months nirudi...
  12. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya miezi kadhaa ya machungu ya talaka

    Naomba kukaribishwa upya katika jukwaa hili maana nilistop kwanza kutokana na matatizo ya mie na my ex wangu sasa nipo mbioni kupata mwingine hasa ktk jukwaa hili naomba kukaribishwa
  13. P

    JamiiForums Tanzania Zitto kufukuzwa CHADEMA siku chache zijazo

    Tusubiri tar.3 siyo mbali
  14. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtoto wa mbunge anataka kuvunja ndoa yangu, nifanyaje jamani!

    toka zako mpende akupendae asiyekupenda achana nae
  15. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Miezi minne tokea nimeachana na wife life linasonga ila...

    Sometimes am lonely ila nashinda hiyo hali coz naishi na Barmaid amenifanya nimsahau wife yuko perfect ktk huduma zote tofauti na X wangu wanaume tujipe moyo wala tusipanic devorce inapotokea
Back
Top Bottom