prof.mutunga
JF-Expert Member
- Apr 10, 2013
- 341
- 60
Kwanza sikuwa na haja ya kupima maana njia zangu hazikuwa nzuri ila nlipolazimishwa na bibie nikajikaza kufika angaza mara mkojo,mara kuharisha mpaka wife akanza kushtuka dakika kumi za kusubiria majibu nlimalizia msalani jamani hili gonjwa noma nimeambiwa niko pouwa ila after3 months nirudi duh!tuombeane