Habari wakuu!
Nina mdogo wangu alihitimu form four mwaka 2017 lakini kwa bahati mbaya kutokana na ubabaishaji wa shule aliyokuwa anasoma(shule ya private) uongozi wa shule haukulipia ada ya mtihani ya wanafunzi hali iliyopelekea matokeo yao kufungiwa.
Naomba mnisaidie procedures za kufuata ili...
Habari wana Jf wakati naendelea na kazi zangu hapa pc yangu imecollapse ghafla ikanambia your pc run ito ploblem you need to restart ikajizima na kurestart yenyewe lakini ghafla tena ikacollapse na mara hii inashtuka na kuzima.
Sasa naomba wataalamu mnieleze tatizo ninini na inatakiwa...
Habari wanajamvi wa JamiiForums. Kwa muda mrefu nimekuwa nikiutumia kusikiliza RFA hususani kuanzia ile saa 12:00 asbh Hadi 1:00 asubuhi, lengo likuwa ni kusikiliza kipindi cha BBC na magazeti hiyo asbh kabla sijaingia job.
Lakini huwa naenjoy sana siku za weekend ambapo huyu mtangazaji Denis...