Tanzania kuna mahali tunazembea sana tushindane na Kenya kuliko maneno na kulaumu hii ni biashara siyo karanga za mama mkwe. Tunao uwezo tufanye biashara.
Natanguliza shukrani zangu kwenu nyote na kheri ya Maulid. Tafadhali naomba radhi kwenu nyote mliyochukizwa na andiko langu la tarehe 21 mwezi huu lenye kusema "Mimi ni wapekee kwenye familia yetu naomba mawazo na uwa nabaguliwa!"
Nimesoma maoni nikajikuta naingia mgogoro na nafsi yangu, moja...
Amani iwe kuwenu, Nimejiuliza maswali mengi sana juu ya upekee wangu katika familia yetu. Tangu kuzaliwa kwangu na kukua kwangu nimeona mengi sana kwenye familia, Mimi ni mtoto wa kwanza kwa mama yangu kati ya watoto tisa lakini pia mzee wangu (BABA) ameoa wake wanne akiwemo mama yangu kipenzi...
Dr Magufuli kaonekana kuziteka hisia za Watanzania sote, sasa nina wazo nadhani ni jema kwa Rais Dr Magufuli tusaidiane kuliboresha zaidi. Dar - Es - Salaam kuna msongamano mkubwa sana wa kila kitu, sasa Rais Ahamie Dodoma napenda kuita Poshington alafu tujenge Ikulu ya pekee Barani Afrika pia...
Sioni kama ukanda ni hoja hapa nilicholeta ni hawa vijana kutokana na utendaji kazi wao na kushindwa ni matokea hata Lowassa alishindwa hoja ni namna wanavyojitolea kujenga vyama vyao. Nicolas Clinton anatoka Kaskazini nisijue huyo John Pambalu.
Leo niwaletee vijana hawa wawili kutoka katika vyama vinavyounda "Umoja wa katiba ya wananchi" (UKAWA) Kupitia Chama Cha Democrasia na Maendeleo CHADEMA na Chama Cha Mageuzi na Ujenzi wa Taifa NCCR - MAGEUZI, kuwa kila nyakati na zama zake jiji la Mwanza lina wanasiasa wachanga na...
Najiuliza sana juu ya ufahamu wa "WATANZANIA" hasa wanawake, wasomi kama mimi, wazee na wengine wengi wamekuwa kama Pundamilia wanawahi kusahau sana hawana kumbukumbu sasa sijui hasa tatizo ni nini? Pundamilia ni wapole sana lakini wanyama hawa wepesi wa kupuuza na wana tabia ya kusahau. Nasema...
Ndugu Lowassa miongoni mwa Waafrika wenye mvuto na wanamageuzi wakubwa katika kizazi cha mabadiliko, alionekana kuwa na tatizo la kiafya ila wiki moja ilipiyopita anaimalika sana nimepata furaha sana jana alipokuwa ARUSHA alikuwa safi sana. CCM ilimnyanyasa sana na sasa mpaka muda huu muelekeo...
Huyu jamaa hata ukitumia akiri ya rofa kama mimi hafai kuwa kiongozi mkubwa huyu, kumbukeni huyu akishinda tutapata shida na ataliletea Taifa hili tatizo kubwa sana hasara.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.