Kumradhi kwa wote waliochukizwa na andiko la "Mimi ni wapekee kwenye famili"

Sep 14, 2014
92
31
Natanguliza shukrani zangu kwenu nyote na kheri ya Maulid. Tafadhali naomba radhi kwenu nyote mliyochukizwa na andiko langu la tarehe 21 mwezi huu lenye kusema "Mimi ni wapekee kwenye familia yetu naomba mawazo na uwa nabaguliwa!"

Nimesoma maoni nikajikuta naingia mgogoro na nafsi yangu, moja siwadharau ndugu zangu laa! nawependa na siyo kusudio langu kuwadharau nawapenda sana ujumbe wangu ulifika vibaya sivyo nilivyo kusudia.

Pia mimi siyo mtu wa kanda ya ziwa ila nimejifunza mengi kutoka kwenu, pia na nyinyi pia punguza kuwabagua watu wa kanda hiyo. Lot's of love to all.
 
Vizuri kama umelitambua hilo na umejirekebisha/umerekebisha kauli
 
Back
Top Bottom