tunataka vitendo not empty words..... anaweza kweli akawa one of the best students of his time ila hana leadership ethics at all. Anakauli za hovyo kama mtu ambaye hajaenda shule.
Bora wana chadema Arumeru tusiwakilishwe kuliko kuwakilishwa na huyo shibuda................................................................
:alien::alien:
Hivi wenzetu wapigwe , wadhalilishwe, wadaiwe dhamana ya mali isiyohamishika inayozidi millioni moja wakati wanafunzi hao ndio wanaodai mkopo alafu tukae kimya? Tuko tayari kufa kwa ajili ya haki yetu. Ndotumeanza hivyo .......... NO RETREAT NO SURRENDER....
.
Jamani hebu sikieni hii! Zaidi ya wanafunzi elfu moja waliojiunga mwaka wa kwanza mwaka 2011, hawana mkopo chuo kikuu cha Dar es salaam wataishije? wengine wamelazimika kughairi mwaka. leo walipoandamana kujua mustakabali wao, magari ya FFU ndio yaliyotumwa kutoa majibu.
Hivi kweli kama...
I'm a form six graduate and i had been expecting to study law and later become an advocate. But the problem arising now is that i got 2point 10 which is not acceptable for law in most universities . But in reality that is what i want as my future career. what should i do because im so...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.