Kaitaba
JF-Expert Member
- Jun 30, 2009
- 915
- 54
Acha kudanganya umma...nipo maeneo ya UDSM na kila ktu kipo shwari
tushike lipi na tuache lipi? mmoja afafanue.Mpaka madogo wote walioko mtaani kwa kukosa mkopo watakapopewa,na hao raia wenzetu 15 walofukuzwa chuo watakapo rejeshwa chuon ndo na sisi tutafungua chuo.