Kutujazia FFU chuoni kwetu wakati ni kweli hatuna hata asilimia sifuri ya mkopo!....... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kutujazia FFU chuoni kwetu wakati ni kweli hatuna hata asilimia sifuri ya mkopo!.......

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by PRODIGOUS, Nov 11, 2011.

 1. P

  PRODIGOUS Member

  #1
  Nov 11, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani hebu sikieni hii! Zaidi ya wanafunzi elfu moja waliojiunga mwaka wa kwanza mwaka 2011, hawana mkopo chuo kikuu cha Dar es salaam wataishije? wengine wamelazimika kughairi mwaka. leo walipoandamana kujua mustakabali wao, magari ya FFU ndio yaliyotumwa kutoa majibu.
  Hivi kweli kama serilkali ya mwalimu isingewafadhili hao wanaowahujumu watoto wa wakulima leo wangekalia hivyo viti na kupulizwa na AC?
   
 2. BIG X

  BIG X JF-Expert Member

  #2
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Maandamano mpaka kieleweke!!
   
 3. K

  Kwayu JF-Expert Member

  #3
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 8, 2007
  Messages: 487
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  wakose kabisa ili wapate akili na mwaka 2015 wafanye uchaguz ulio sahihi
   
 4. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #4
  Nov 11, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,255
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  duh! Hii ni kali...
   
 5. clet 8

  clet 8 JF-Expert Member

  #5
  Nov 11, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 1,067
  Likes Received: 231
  Trophy Points: 160
  Inaskitisha sana pesa za safari kwenda ughaibuni kunywa kahawa na wadachi zipo lkn za kuwasomesha wtz zimekosa.
   
 6. m

  massai JF-Expert Member

  #6
  Nov 11, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Dr wa ukweli aliwa ahidi elimu bure mpaka chuo kikuu mkamdharau na kumnyima kura sasa mambo ndio kama hivyo tena jk hata kuwakopa amegoma,any way poleni sasa cha msingi ni kujiandikisha kwa wingi uchaguzi ujao ili tumtoe huyo mdudu fisadi madarakani.kingine muwaelimishe wazazi wenu kua wizi wanaofanya hawa jamaa wa magamba ndio unaosababisha yote haya.gari alizo nunua riz1 ni heletosha ta kuwasomesha wote,poleni kwa mabomu sasa sijui ndio mafunzo gani hayo mnayopata huko,au kunakozi amanzisha ya kupambana na mabomu ya machozi?
   
 7. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #7
  Nov 11, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,818
  Likes Received: 83,217
  Trophy Points: 280
  FFU wanatakiwa wamwage pale ndani ya Ikulu na ofisi zote za magamba watembeze mkong'oto wa hali ya juu kwa wasanii na mafisadi wote wanaoiangamiza nchi yetu.
   
 8. king'amuzi

  king'amuzi JF-Expert Member

  #8
  Nov 11, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  watanzania tusichoke kudai haki zetu kwa njia yeyote ile.kwanza naomba watanzania wote tususie sherehe za miaka 50 ya uhuru maana serekali inatumia ma billion ya fedha kufanya sherehe wakati wanafunzi vyuoni hawana fedha za kujikimu, shule za sekondari hazina walimu, na chakula. vijijini hakuna vituo vya afya na madawa,watanazia hawapati maji safi na salama,watanzania wanazulumiwa na vigogo haki zao,madini wazawa wanazuiliwa kuchimba ili tumnufaishe mwekezaji.Mimi na wewe tunaweza kuibadili tanzania
   
 9. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #9
  Nov 11, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Koh koh, excuse me..Dr..? Dr. wa Canon Law?? sasa zina tofauti gani na PhD za m.kwere?
  BTW, hakuna muujiza.. hiyo hela ya kusomesha watu bure haipo serikalini..ipo mfukoni mwenu nyie wananchi wakwepa kodi na wavivuna wazembe!
   
 10. It is Sur_Plus

  It is Sur_Plus Senior Member

  #10
  Nov 11, 2011
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 169
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huku kwingine harakati zinaendele soooooooooooon kitatanuka......... tuuuuuu
   
 11. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #11
  Nov 11, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 936
  Trophy Points: 280
  ni bora ukose mali upate akili...
  source: ramadhani masanja.
   
 12. G

  Giddy Mangi JF-Expert Member

  #12
  Nov 11, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 833
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Wapigeni mawe hao giza likiingia
   
 13. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #13
  Nov 11, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Self-reflection.. very nice.
   
 14. H

  HAMY-D JF-Expert Member

  #14
  Nov 11, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 6,825
  Likes Received: 710
  Trophy Points: 280
  Wanafunzi wa TZ ni wabinafsi na hawana umoja kabisa,yani kwa kuwa baadhi yao wamepata mikopo basi hawataki kuungana na wenzao waliozimwa kwa muda mfupi na hao FFU kwa kutumia mbinu zao za kiintelijensia.WANAFUNZI UNGANENI WOTE HILI TATIZO NDIO LITASHUGHULIKIWA VYUO VYOTE TZ AMKENI.

  No one will give you justice,equality and your rights if you know you deserve it take it and never beg for it insteady you demand it.
   
 15. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #15
  Nov 11, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  sijawah ona 1st yr washamba kama hawa wa mwaka huu hapa udsm,sijui ni utoto,yani hawana umoja kabisa,natabir tukiondoka sisi na hawa madogo wa 2nd yr,udsm kitakua chuo cha kilokole.
   
 16. MKOBA2011

  MKOBA2011 Senior Member

  #16
  Nov 12, 2011
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 143
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwanza sasa hivi hata DARUSO imefulia enzi zetu na kina Julius Mtatiro hakuna mwanafunzi anarudi nyumbani kwa kukossa mkopo na mkiamua Kunji non stop na hakuna anayekwepa kunji sasa nyinyi mnaandamana DARUSO wanawapiga bit anyway watoto wa miaka hii umayai mmezidi watoto wa chipsi mayai UDM ilikuwa inasifika kwa kupeleka ujumbe kwa kunji kweli hata siku tatu haziishi utekelezaji juu nyie mnabip poleni sana kwa kushindwa kuwa wamoja na serikali ikilitambuwa hilo itawafanya inachotaka maana hamna umoja wengine waingia darasani wengine wagoma da mbaya sana hii.Ila mliokosa mikopo tunawaombea Mungu awe nayi acheni wasaliti ipo siku watajuwa adha ya kukosa mkopo
   
 17. Olengambunyi

  Olengambunyi Member

  #17
  Nov 12, 2011
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  gava iache mambo ya kisela joh watoe mikopo mbna mafisadi wanamanga tu doo za raia wakiwa kwa ofisi!
   
 18. D

  DAR si LAMU JF-Expert Member

  #18
  Nov 12, 2011
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 2,942
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  ...Mwalimu hayupo tena. Inabidi mjue namna ya kuishi bila yeye.

  ...Hivi sasa, hamna anayekumbuka wala kujali alikotoka na tunakokwenda.
   
 19. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #19
  Nov 12, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,378
  Trophy Points: 280
  Nilisikitika kuona kuwa polisi ndio walioanzisha fujo, huu ni ujinga. Hatutaacha mpaka kieleweke.
   
 20. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #20
  Nov 12, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Wanapaswa wawalaumu wazazi wao.

  Serikali haina uwezo wa kuwasomesha wanafunzi wote wanaoingia chuo kikuu. Bodi ya mikopo inaongozwa na bajeti na si siasa.

  Nawatakieni Maisha Mema. MUNGU AWABARIKI.
   
Loading...