Mfanya BIASHARA yoyote wa caliber ya Rostam, siasa , kuwa karibu na watawala,, ni fursa,,kwa kufanya hivyo himaya yake lazima itamalaki,,lazima apate fursa mpya, hakuna lingine zaidi ya hilo==in other words mfanyabiashara huku kwetu Africa ukijitenda na WATAWALA ILI UTOBOE NI KAMA NGAMIA KUPENYA...