Recent content by prober ze good

  1. prober ze good

    Uchaguzi 2020 Kamati Kuu (Halmashauri Kuu) walikosea sana kumpitisha Askofu Gwajima kugombea Ubunge Kawe

    Umekosea sana mkuu Paulo alipobadilika hakurudi tena nyuma huyu tumwite tu kinyonga ndiyo sifa yake kumfananisha na Paulo ni kufuru.
  2. prober ze good

    Je, ni kweli kuna chama kimegeuka no "666"??

    Wapendwa no 666 si kitu kigeni masikioni au machoni pa watu wengi,namba hizi zimezungumziwa na watu wengi hasa wabobezi wa mambo ya kidini kama ishara ya mpinga Kristo ambayo itatumika kwa kasi katika nyakati za mwisho. Kupitia no 666 ambayo itakuwa kama muhuri katika paji la uso ama kiganja...
  3. prober ze good

    Nimeamua Kustaafu Rasmi JF, Utangazaji na Uandishi wa Habari Baada ya Kuhudumu Miaka 30. Niko Free Kujiunga Siasa, Nimejiunga CCM na Nitagombea Ubunge

    Nimeusoma huu uzi huku machozi yakinitoka maana mwandishi amejitahidi kuonyesha uhalisia wa mambo kwa masihara,nikiambiwa nifupishe mawazo ya mwandishi kwa maneno machache"CCM IMEGEUKA NO "666" Huwezi fanya lolote ama chochote bila wao utake usitake. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. prober ze good

    Rais Magufuli amlipia Peter Msigwa Tsh. Milioni 38 ili atoke gerezani, CHADEMA wadai wameshamlipia Mil 40

    Kuna vitu vya kusikitisha sana kwanini mh kama mchango aliombwa kindugu kaamua kutangaza?? Hii ni kutaka kutuaminisha kwamba yeye ndo kila kitu kwa familia ya kina Msigwa?? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. prober ze good

    Serikali imchukulie pia hatua kali aliyechana Biblia

    Mkuu sasa imekuwaje Quran ambayo si gazeti kuchanika?? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. prober ze good

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Daah salamu mkuu umeongea kwa hekima sana usipoeleweka kuna shida..
  7. prober ze good

    Likud Nimeokoka

    Kwa sababu mtume Mohammed na Allah sio YESU
  8. prober ze good

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Nadhani Neres ni bora zaidii tuombee tu dili lisifeli Sent using Jamii Forums mobile app
  9. prober ze good

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Dogo anaujua mpira Sent using Jamii Forums mobile app
  10. prober ze good

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Mkuu shangilia kitu roho inapenda karibu ila utaratibu wetu ije mvua yaje masika au kiangazi we are Reds hatunaga unafiki karibu tukufunde pia. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. prober ze good

    Bwana Kiranga atakuwa mhubiri mzuri wa habari za Mungu hapo baadae

    Hilo la kusoma sana na kukataa uwepo wa Mungu nalipinga,naona tatizo ni kufuata mkumbo tu wanafalsafa na wabobezi kibao wamekiri uwepo wa Mungu sembuse kiranga???
  12. prober ze good

    Ikitokea vitabu vya biblia vimeteketea vyote duniani software na hardware kuna uwezekano wa kuandikwa upya?

    Tofauti ya Biblia na Quran ni kwamba aliyetoa biblia hata ipotezwe ana uwezo wa kuirudisha tena ila wa Quran hana uhakika so ili kuitunza kariri tu.
Back
Top Bottom