Je, ni kweli kuna chama kimegeuka no "666"??

prober ze good

prober ze good

Senior Member
Aug 14, 2014
162
250
Wapendwa no 666 si kitu kigeni masikioni au machoni pa watu wengi,namba hizi zimezungumziwa na watu wengi hasa wabobezi wa mambo ya kidini kama ishara ya mpinga Kristo ambayo itatumika kwa kasi katika nyakati za mwisho.

Kupitia no 666 ambayo itakuwa kama muhuri katika paji la uso ama kiganja cha mkono hakuna mtu atakayeweza kuuza ama kununua bidhaa sehemu yoyote pasi hiyo no.inasemekana kuwa yaweza tumika kama password kuingia sehemu mbalimbali ama majumba ya satarehe,hotel,bar,mabenki na sehemu mbalimbali.

Kinachonisukuma niandike huu uzi ni mambo kadhaa ambayo nimekutana nayo kwa macho na nimeyashuhudia yakitendeka,nimeona mtu akikosa kuajiriwa kwa sababu si mwana chama na hana kadi ya uanachama,nimeona mtu akijiunga na Chama pendwa akipatiwa kadi ya uanachama na hatimaye ajira.

Mtaani kuna watu ambao wanauhakika wakipitishwa na chama basi wao moja kwa moja ni wateuliwa(washindi) maana watashinda tu hata kama vyama vya pinzani vitaweka wagombea.

Kinachonitisha zaidi hata viongozi wa dini nao wamebidi waingie kwenye mtego huu wa kusifia chama pendwa na hata wengine wanakadi za uanachama ili tu kulinda maslahi yao hayo ni yangu.

Swali kwenu ni mambo mangapi mnayoyaona wanabodi na nyie kufikiri kama mimi au ni mawazo yangu tu nisaidieni,Je usipokuwa mwana chama huwezi pata nafasi kirahisi kuajiriwa??
 
jmushi1

jmushi1

JF-Expert Member
Nov 2, 2007
22,307
2,000
Tuombe Mungu hii corona isisambae, maana Taifa litapitia kwenye kipimo ambacho kitazitikisa quality na characters zetu kama wanadamu.

Hili gonjwa ukijaribu ku deal nalo kisiasa itakula kwako. Corona haina chama, haina dini, wala haijui masikini au tajiri.
 
sblandes

sblandes

JF-Expert Member
Apr 25, 2010
4,282
2,000
Tuombe Mungu hii corona isisambae, maana Taifa litapitia kwenye kipimo ambacho kitazitikisa quality na characters zetu kama wanadamu.

Hili gonjwa ukijaribu ku deal nalo kisiasa itakula kwako. Corona haina chama, haina dini, wala haijui masikini au tajiri.
If we want to eradicate Covid-19 we must put Medical science first and political mongering second.
 
paul sylvester

paul sylvester

JF-Expert Member
Mar 18, 2020
1,019
2,000
Ukiwachukia Bakwata na wakatoliki, Huna mpango wa Chama chako kuitawala nchi mkuu

Viongozi gani wadini awo unawasema maana bakwata na Wakataloki nimatawi ya ccm ....Tz hakuna dini zaidi ya wapgaji
 
Top Bottom