Recent content by Private joker

  1. Private joker

    Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

    Najuaje. .? Sometimes kunakuwa na ki badge pale nje lkn isiwepo. Kuangalia kama imekuwa installed nafanyaje. ?
  2. Private joker

    Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

    Niwe nacheza kila game bila stack stak, nikienda Dukani niulizie pc yenye spc gani. ? Naomba msaada tafadhali
  3. Private joker

    Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

    Imeshatoka. .. ipate hapa FMOVIES.SE Ningekuwekea link ila sijui. Search pale juu utaipata
  4. Private joker

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Gunia zilizotumika kubebea pesa za IPTL zafaa ziwekwe kwenye jumba LA makumbusho
  5. Private joker

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Kunipata huniwezi alisikika akisema konda yule huku akimeza Funda la mate na kuendelea na hadithi
  6. Private joker

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Wapi panakuhusu nini. ? Kwani huyo ni babu yako. ?
  7. Private joker

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Yako na ya baba Yako zote ndogo. .. Alisikika dada mwajuma akimwambia kijana yule
  8. Private joker

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mtaani kwetu bangi ni chakula muhimu kabla ya kufanya ngono
  9. Private joker

    Nataka kujifunza IT

    Iko pale mwenge kama unaelekea ununio njia ya kwenda posta. . Ukivuka barabara upande wa kushoto Kuna maisha club nyuma yake uwanja wa Taifa.... ulizia tandale basi umefika
  10. Private joker

    Vita vya Kagera: Historia yangu - Sehemu ya kwanza

    Nina babu yangu yeye ni mstaafu Sasa Anaitwa Conel Isaack Mtuma. Wakati wa Vita alikuwa CO pale kambi ya Kaboya Bukoba. Kipindi cha vita ananisimulia alikuwa na cheo cha luten Conel na mkuu wa iyo kambi ya Kaboya Tabora. Alishiriki akiwa upande wa mawasiliano Je unamfaham. ? Unaweza...
  11. Private joker

    Leo naungana na tafiti na misemo yote duniani kuwa mwanamke hasomeshwi

    Ushauri wa buleee kula Sana mboga za majani na karoti
  12. Private joker

    Edward Snowden: Jasusi wa Kimarekani alivyopania kumdhalilisha Obama

    Bonge la Uzi. .. haraka za nini. ?
  13. Private joker

    Kweli mwanamke sio mtu wa kumlia yamini, ME tuchunge sana

    Hawaridhiki. ... narudia tena hawaridiki. Nasema hivi hawaridhiki. Nimemaliza
  14. Private joker

    Kweli mwanamke sio mtu wa kumlia yamini, ME tuchunge sana

    Labda ulikosea njia.... au simu yako imepasuka kioo. ? Me naona pameandikwa Hili ni jukwaa LA mahusiano. Samahani kwani ulidhani ni jukwaa la sheria hili. ? Ukifika hapo kwa mangi kunywa coke baridi ntalipa.
Back
Top Bottom