Recent content by principled man

  1. principled man

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nimefatilia tatizo la umeme nyumbani mpaka nshakata tamaa na hata upige simu kupata msaada mnatoa ahadi lakini wapi. Tambua tumeteseka to max.
  2. principled man

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Hivi tatizo liko wapi mbona huduma zenu mbovu kupindukia?? You are not serious at all. Inabidi mjifanyie tathmini
  3. principled man

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Hali ya umeme ni wa kuridhisha! Ubungo riverside toka pasaka mpaka leo hatujapata umeme zaidi ya saa 12. Tanzania ya viwanda
  4. principled man

    Bila upinzani, Tanzania ingekuwa zaidi ya Japan kiuchumi

    Utakuwa crazy wewe sio bure. Ukapimwe
  5. principled man

    Mabegi wanayobeba watoto wa shule siku hizi yatawadumaza

    Hakuna kinachofanyika maana wakati mwingine watoto wamebeba madaftari na mwalimu kaingia chocho
  6. principled man

    Aliye karibu na Mange Kimambi anisaidie kunifikishia Kwake huu ujumbe maridhawa

    Waliotutukana jangwani uliona wako sahihi?? Ngoja awape somo maana hawajitambui hasa viongozi wanaoongoza kwa chuki
  7. principled man

    Aliye karibu na Mange Kimambi anisaidie kunifikishia Kwake huu ujumbe maridhawa

    Waliotutukana jangwani uliona ni wenye akili sana??? Vapor hzo
  8. principled man

    Rwegasira ageuka tena, asema viongozi wa dini ni ruksa kuisifia Serikali kwa kuwa haivurugi amani

    "Ukiisifia serikali ukiwa madhabahuni hujachanganya siasa na dini ila ukiikosoa serikali ukiwa madhabahuni umechanganya siasa na dini" Naomba tujadili.
  9. principled man

    Wasifu(CV) wa Tundu Lissu

    Je wajua ???? Lissu alizaliwa tarehe 20 Januari 1968 na alisoma shule ya msingi Mahambe, Singida. Katika miaka yake yote saba shuleni hapo, Lissu hakukubali hata mara moja kuamka alfajiri saa 11 kuwahi namba na daima aligomea kulima mashamba ya walimu, kuwachotea maji na kazi za namna hiyo kwani...
  10. principled man

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Arsenal leo anachomoka wazee wa kubet??
  11. principled man

    Namuona Mume wa Shilole ni Mshamba

    Mshamba??? Mbona katongoza na akakubaliwa???
  12. principled man

    Viongozi wa Africa acheni kuota ndoto zenu za Abunuasi

    VIONGOZI wa AFRICA acheni kuwahadaa wananchi wenu na kuwafanya kama hawajielewi,,,,,,,,, Mnajishauwa kumjia TRUMP juu kua mnalaani kauli alizotoa kuwa kawadharirisha WAAFRICA? Haya ndo maajabu ya 2018.. Nyie mnaojiita VIONGOZI wa Africa,,, mmeshindwa kuitafsiri kauli ya trump !!? #Africa...
  13. principled man

    Mbwembwe zilizokuwa zikifanyika Nairobi hatuzioni ubeligiji

    Subiri nawe yakukute unayowaombea wengine
  14. principled man

    Baba Askofu Dr. Benson Bagonza: Tuheshimu nguvu ya hoja

    SOMO LA URAIA: UHURU MIAKA 56. Tuheshimu Nguvu ya hoja. 1. Hadi Desemba 1961, tulikuwa tunapigania kupata uhuru, siyo serikali. Kwa hiyo kilichopatikana siku hiyo usiku ni "Uhuru", si serikali. Serikali ilikuwapo hata kama hatukuwa tunaipenda. Wakati wote tunaenda mpaka Umoja wa Mataifa...
Back
Top Bottom