Nimemaliza maandalizi yangu nikiwa na siku kama nne kabla ya tarehe ya kuondoka arusha kwenda mwanza, naingia mtandaoni kufanya booking natafuta hii route siioni napiga simu naambiwa lazima neende KIA.
Kwa wenye uelewa wa hii route naomba mnisaidie kwani siamini nachoona mbele yangu kwamba hii...
Wapendwa nianze kwa kuomba radhi kama mada hii ilisha wahi tolewa bila mimi kujua.
Nimekuwa nahangaika sana na tatizo hili la chango kwa kuamini ninalo kwani kwanza kabisa kwangu ninapokuwa na mwenza sijawahi kuweza kurudia tendo.
Sasa kila ninapotafuta suluhisho huwa naambiwa yawezekana nina...
Waajiriwa inchi hii ni asilimia ngap[I bana acha abane tu maana mlivokuwa mnalipwa kila mlichotaka na tawala zilizopita nadhani mnajua hata utendaji ulivokuwa. Sasa thubutu kuleta za kuleta kwenye utendaji uone kilichomtoa kanga manyoya ya mshahara.....
Naamini hujaenda ulaya kwa kipindi hiki chote cha utawala wa JPM hivyo hutotulia wewe kijana. Yaani kuna kitu kikubwa sana unamiss kwenye utawala huu wa stone. Mfuate "Dau" huko aliko akupe nauli za kufuatilia mabilion yaliyofichwa uswis na kwingineko. Danganya watu wote kwa kipindi flani halafu...
Mkuu nashukuru kwa mchango. Kijana kapangiwa tourism na yeye anaamini kule wildlife ndo kuna lipa. Hivo hapa bado tuko kwenye dilemma kwa kushindwa kujua kwa uhakika hasa ni ipi kati ya hizi mbili ni bora na yenye future nzuri.
OK! Hivi hawa kwanini wanapotoa list kama hizi zenye pages zaidi ya 870 na majina hayajapangwa kwa njia yeyote iliyo rahisi kwa mtumiaji (e.g alphabetical, shule moja baada ya ingine au ascending student reg. numbers)hii maana yake huwa nini? Yaani kweli ka karne hizi za teknologia rahisi tu...
Wakuu yawezekana hii mada ilishawahi jadiliwa humu huko nyuma lakini naomba mniwie radhi kwa kuwarudisha nyuma. Nimekuwa kila nikienda hospital mbalimbali kwa ajili ya matibabu najiona kama pekee yangu nisie na bima. Jambo hili limenifanya leo niamue kwenda kujiadikisha pale NHIF. Cha ajabu...
Wanajamvi kutokana na destruri ya taasisi hii ya TCU kila hatua kuwa na changamoto zake ambazo kimsingi si za lazima sana lakini kila mara tunajikuta hukohuko tu. Sasa baada ya kuconfirm chaguo la chuo kwa wale wa multi selection nini kinafuata kwa sababu tangu juzi baada ya confirmation bado...
Namsikiliza mheshimiwa akiwa live huko Serengeti.
Dah lugha inayotumika kama hujamzoea unaweza sema basi leo viongozi wa mkoa huo hawana bahati. Lakini nashindwa kujua kama iko siku mambo yanaweza kubadilika kwa mheshimiwa kuja kuwa na lugha za staha kama ambavyo inategemewa kwa nafasi yake...
Jamani hali si hali hatujui cha kufanya na muda ndo hivo tena na si ajabu kesho tukasikie mengine ya kutuumiza wadahiliwa ambao hatujapata hizo code zao. Sasa kwa nini walioko karibu na hizo ofisi zao hapo dar wasichukue jitihada za maksudi? I wish hii ofisi ingekuwa musoma....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.