TCU wamefeli kutumia CODES, kinachofanyika ni chuo husika wanapiga simu kwako moja kwa moja kuthibitisha kama waenda chuoni hapo

Ivi Kama umekosea kutuma code unafanyeje kupata ile link ya click to enter password
 
Jamani naomba msaada Jana niliingiza code chuo Cha NIT nikapata ujumbe unsuccessful confirmed usiku wa Leo nimepata code nyingine lakini Kila nikijaribu kuingia kwenye account yangu huo ujumbe wa awali hautoki ili nipate sehemu ya kuweka hiyo code mpya. Msaada wakuu
 
Hivi hawa tcu wanatufikiria nn sisi ambao mpaka sasa hawajatutumia codes?
Na leo ndo deadline mbona wana dharau sana?
 
Namba zao ni iz +255-22-2400148
+255-22-2443149
TCU--+255 (0) 22 2113694
+255 (0) 22 2113691
+255 (0) 22 2113692
 
Ndio najua lkn majukumu wamepewa chuo nmeckia kwa tarifa kama ujapata code cubili au wasiliana na chuo huska hao ndo wata wasiliana na tcu den utapewa code
 
Baada ya takriban masaa 10 kuwapigia sua bila majibu hatimae muda mchache uliopita nimetoka kuongea nao nikawaaeleza kila kitu amina mungu ametenda miujiza wameniambia kuwa tayari nimesha comfirm so nisubir muda watatoa majina

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom