Recent content by Prince toyboy

  1. Prince toyboy

    JamiiForums Tanzania Pombe ilichonifanyia: Ndoto zimeyeyuka nahisi ‘nimeukwaa umeme’, nina hofu huenda nisiishuhudie Tanzania ya Viwanda

    hauna ukimwi mk mimi pia ilitokea manzi wangu kanishauri tukapime afu mimi nikawa safi ila yeye vipimo vyak vikawa positive aligoma nisile upumbavu kavu ila kwasababu nilikua nae kwa muda mrefu nikaula bila waswas nikiamini kwamba hawzi nipa HIV. kumbe nae ni negative ila kwaaababu alikua na...
  2. Prince toyboy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Hahahaha Mimi kwenye swala la sex lazma nipindue meza mzee
  3. Prince toyboy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Mimi Nina bahati na kula matunda kimasihara ila ngoja nianze na hii Kuna demu nilikutana nae town tukapiga story nyingi za kfahamiana, siku hyo nilijitoa kumsindikiza mpaka anapoishi. Alinambia ana mtu wake basi kwasababu sikua nikiwaza sana mahusiano nikaona sio tatzo. Basi Yukawa marafiki Wa...
  4. Prince toyboy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu ananilazimisha nimuombe msamaha mbele ya Kanisa

    Hahahahaha Hahahaha walokole wengi hamnazo aisee
  5. Prince toyboy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uislaam ni mzuri sana ila wengi wetu hatujui

    Hahahahahaha
  6. Prince toyboy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Single ladies: Kwanini uko benchi mpaka leo?

    Hero hua haachwi ila anapewa pumziko tu
  7. Prince toyboy

    JamiiForums Tanzania UCHAWI: Upo au haupo?

    Kuna jamaa anazengua hapa jirani nimpige na lipi
  8. Prince toyboy

    JamiiForums Tanzania Ukichaa ni nafsi au akili?

    M Mkuu lako linaweza kuponya hadi machizi
  9. Prince toyboy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Faida za kuto-kuoa

    Write your reply...Uvivu wa kuelewa mambo tu. mimi cjaoa ila natamani nioe hata mwaka huu japo bado cjampata wa kumuoa ila i really need to get me a good wife
  10. Prince toyboy

    JamiiForums Tanzania Wanawake wazuri JF nzima

    sina uhakika kama ni wazuri kweli maana wengine tunawajua na wako kawaida sana. labda avatar zao ndo zinasumbua watu tu. bado cjapata kuona mwanamke mzuri wa level ya kunipotosha ila nawasifu kwa kua na Avatar nzuri
  11. Prince toyboy

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM itashinda 2020 kwa 99%

    Ngoja tusubiri yajayo maana hata Mimi nimepanga kupiga kura
  12. Prince toyboy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mazingira gani ya hatari uliwahi kufanya mapenzi?

    Hii ilikua ni hatari sana mkuu yani jamaa katoka tu me nikajikuta navamia Mali yake mpaka kukutwa Ila nilikimbia
  13. Prince toyboy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mazingira gani ya hatari uliwahi kufanya mapenzi?

    Hahahaha kwahyo mkala 073
  14. Prince toyboy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania DATING: Ndani ya wiki 1 (Sex, mizinga ya kutosha)

    Hahahahahahaha sio kila Malaya ana HIV wengine hawapati hizo mikitu kizembe
  15. Prince toyboy

    JamiiForums Tanzania Hivi lengo la Mungu kuhusu zaka ni nini? Niko kanisani naambiwa nitoe kwenye mshahara 'net'

    Mkuu wewe ndo umenena sasa Kuna jamaa nimemuona hapo juu katokwa povu kama yeye ndo mkusanyaji wa zaka afu hajamsaidia mtoa post ila kamponda Be blessed
Back
Top Bottom