Recent content by Prince Nadheem

  1. Prince Nadheem

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuchepuka sio kosa?

    Ndio maana najipa muda kwanza wa kuona hatma ya hili bench nililosugulishwa kama Onana. Ila surely ninajikaza tu ila kidumu kimejaa sana sema ndio najipa majukumu ya kikazi saaana ili nikirejea home nikigusa kitanda tu chali
  2. Prince Nadheem

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi Shemeji yangu (Rafiki wa Ex wangu) alivyoniambukiza Gono na UTI sugu

    Guys, katika harakati zetu kinga iwe ndio kipaumbele aisee. Unakuta mtu yupo na rapid test yake wanapima HIV inasoma negative, anauza mechi anaishia kupata STIs kama hizo za kina gono, pangusa na mengineyo. Let us be careful
  3. Prince Nadheem

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuchepuka sio kosa?

    Wanawake viumbe wa ajabu sana. Leo natimiza siku ya 18 tangu kupewa tunda. Imagine na tunalala kitanda kimoja! Mtu unampapasa romantically kuwa wamuhitaji halafu yeyey anakausha kauuuuu. Kwa sasa mie nachepuka na kazi tu. Napiga kazi hadi late evening, maana sinywi pombe. Nikifika nimechoka...
  4. Prince Nadheem

    JamiiForums Tanzania Mkoa/Wilaya gani watu wake wanaongoza kwa uvivu...?

    Mkuu kuna wilaya inaitwa Kisarawe, hiyo nadhani ndio wilaya ya kwanza kwa wakazi kuwa wavivu
  5. Prince Nadheem

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi kuinstall vlc media kwenye hisense smart tv

    Kama ni Hisense VIDAA hapo hauna namna zaidi kukushauri ununue Android box ili upate access ya kuinstall android apps ikiwemo VLC VIDAA ipo very selective katika kusupport different playable files, unaweza weka flash ya movie 30 ikakubali kucheza 3 tu Labda useme tu smart tv yako ipo katika...
  6. Prince Nadheem

    JamiiForums Tanzania Pamoja na ulevi wangu,ila kuberi nimeishindwa aisee

    Kuber nakumbuka mwaka 2001 nikiwa form 3 secondary flani mkoani Mbeya Kuna mwamba alikuwa anajiita Fish aliingiza class kwa Wana. Watu walipiga na karibia nusu ya darasa walikata network. Kuna demu alijikojolea (Sasa hivi yupo bank Moja maarufu mitaa ya posta jijini DSM). Mchana huo aliingia...
  7. Prince Nadheem

    JamiiForums Tanzania KERO Waziri wa Elimu Prof. Mkenda, tueleze mitihani ya kila wiki kwa kuwalipisha wazazi mchango wa Tsh. 1,500 kila Ijumaa , ndiyo sera uliyoiruhusu?

    Inferiority complex. Wewe unayo shida ya kisaikolojia. Hajatukanwa mtu kwa namna yeyote ile. Neno pumbazo limetumika kuwa unapumbazwa na maneno/falsafa/kauli mbiu za wanasiasa juu ya kuaminishwa suala la elimu bure. Sasa wewe umetoka ulipotoka umeshapandisha sukari, povu linakutoka tu kuwa...
  8. Prince Nadheem

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binti wa 2000 amenipenda mimi na watoto wangu

    Mbona kama thread Yako haipo na taarifa (details) za kutosha? Wataka nini na msimamo wako ni nini??
  9. Prince Nadheem

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Kuna kondom zinaitwa bareback na Durex Real Feel Non-Latex. Hizo ni hatareeee. Kitu kama unateleza. First time kutumia nilikuwa kila mara nahakiki kama mzigo upo au lah! Ngoma nilikuwa napiga show na former collegemate tumekutana kwa mara ya kwanza baada ya miaka 10. Yeye alikuwa yupo kikazi...
  10. Prince Nadheem

    JamiiForums Tanzania Kompyuta ya AI ni Nini, na Inatofautianaje na Kompyuta ya Kawaida?

    Ahsante sana kwa uchambuzi mzuri mkuu. Hizo PC mnazouza haujasema kama ni brand new, refurbished au second hand. Pia ungetoa hata price range kuwa PC zenye AI zinacheza kati ya bei gani na bei gani. Yangu ndio hayo tu, ahsante
  11. Prince Nadheem

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Gharama za Kujifungua Hospital ta Taifa Muhimbili MNH (Mloganzila) ni kufuru

    Elewa muktadha mzee. Mtoa mada kasema hospitali ya Mlonganzila kama inavyojieleza katika kichwa cha habari. Na kumbuka kuwa mkewe alipewa rufaa labda kwa sababu ya complications flani au uwezo mdogo wa kituo walichokuwa wanahudumiwa awali. So yes watu wanajifungulia katika vituo vingine kwa...
  12. Prince Nadheem

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahisi kutokuwa sawa kiroho. Pepo wachafu wameniingilia!

    Rejea, ungama na muombe sana Mungu wako kwa roho na kweli. Maanisha toba yako, achana kabisa na mtindo huo wa maisha uliouzoea. Badala ya kwenda maeneo ya starehe jifiunze sana kukaa nyumbani na usome vitabu vya ibada. Kama hali bado inakomaa anza kuhudhuria sana nyumba za ibada na kukemea...
  13. Prince Nadheem

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona simu yoyote ya Google Pixel au Aquos ikisoma 5G hapa Tanzania

    Iphone ni simu ya kimarekani na inasoma 5G. Kwa simu yako umeiwezesha 5G??
  14. Prince Nadheem

    JamiiForums Tanzania KERO Waziri wa Elimu Prof. Mkenda, tueleze mitihani ya kila wiki kwa kuwalipisha wazazi mchango wa Tsh. 1,500 kila Ijumaa , ndiyo sera uliyoiruhusu?

    Ndugu mtoa mada hebu amka katika huo usingizi mzito na pumbazo ulilo nalo. Hakuna kitu kinaitwa elimu bure hata iwaje. Ni nyinyi ndio wa kwanza kuhoji matokeo iwapo watoto hawafanyi vema matokeo yanapoachiliwa. Hivyo ili kuwajengea uwezo watoto: walimu waliona mitihani ya mara kwa mara inaweza...
  15. Prince Nadheem

    JamiiForums Tanzania Kwanini Toyota IST huwa zinawahi sana kuchoka

    Hapo kwenye rangi ni pakuzingatia sana aisee ila kuna sehemu umetupeleka chaka. Oil watu wengi hawatumii oil na filter sahihi za gari. wengi tunafunga filters fake! Oil pia zinakuwa na specification zake. Engine ya ist ambayo ni 1nzFe inatumia oil ya 5W30, sasa wakuta mtu anaweka engine ya 15w40...
Back
Top Bottom