Binti wa 2000 amenipenda mimi na watoto wangu

Wakuu Kuna Binti wa 2000 hajaolewa lkn ametokea kuwapenda sana wanangu wawili wa kiume. Kiasi kwamba ananiambia ni mahandsome sana,

Sasa Jana nilikua na chati nae akasema anataka kwenda kwao Tanga maana kibaha anaboleka anataka kutoka out lakini hana kampani, nikamwambia njoo mlandizi nikutoe out, akasema atakuja anaomba nimtafutie lodge alale aondoke kesho yake,

Hapa nawaza aje alale aonodoke mi sitaki kulala nae maana anaonekana kunitaka Kuna viashilia vingi naviona, wanawake wengine kwann wanapenda waume za watu jamani.

Huyu Binti mtoto wangu wa pili alivyozaliwa alifika hadi Hospitali kumuona mke wangu, na nikiwa sehemu anajisogesa sogeza sana kwangu, ofcoz

Mimi sihishi kibaha kwasababu nafanya kazi Mlandizi nikiwa off ndio narudi Kibaha kuiona familia huyu Binti ni family friend tu amepanga chumba anaishi karbu na kwangu kibaha ila ni mfanyakazi ameajiliwa.
Jiandae kulipa bill za huyo gen z,anatafuta pesa
 
Wanawake ni wale wale, kama mkeo anakupa Heshima kama Mume, mthamini, achana na matapeli, Yes, matapeli, huwa wanavaa sketi, kwenda Kanisan na kuimba kwaya ila ni matapeli!
 
Wakuu Kuna Binti wa 2000 hajaolewa lkn ametokea kuwapenda sana wanangu wawili wa kiume. Kiasi kwamba ananiambia ni mahandsome sana,

Sasa Jana nilikua na chati nae akasema anataka kwenda kwao Tanga maana kibaha anaboleka anataka kutoka out lakini hana kampani, nikamwambia njoo mlandizi nikutoe out, akasema atakuja anaomba nimtafutie lodge alale aondoke kesho yake,

Hapa nawaza aje alale aonodoke mi sitaki kulala nae maana anaonekana kunitaka Kuna viashilia vingi naviona, wanawake wengine kwann wanapenda waume za watu jamani.

Huyu Binti mtoto wangu wa pili alivyozaliwa alifika hadi Hospitali kumuona mke wangu, na nikiwa sehemu anajisogesa sogeza sana kwangu, ofcoz

Mimi sihishi kibaha kwasababu nafanya kazi Mlandizi nikiwa off ndio narudi Kibaha kuiona familia huyu Binti ni family friend tu amepanga chumba anaishi karbu na kwangu kibaha ila ni mfanyakazi ameajiliwa.

MUANDIKO WA KIPUNGA. WANAUME HATUWEZI KUJA ANDIKA HUU UTUMBO JF
 
Mbona kama thread Yako haipo na taarifa (details) za kutosha? Wataka nini na msimamo wako ni nini??
 
Anapenda kuwa mchepuko/kutumika kama bangi akihisi anaweza fanya lolote la kumpindua mkeo....shauri yako jisogeze utajikuta umekataa hadi watoto uliozaa
 
Back
Top Bottom