Kaitwa akafanye kazi maalum ya kumfurahisha mkuu! Iv kwani huyu jamaa hana mke! Mi si nasikia mkwe wa mtei! Daaah! Sasa kitabadilishwa jina na kuitwa CHAMALAYA.
Mmmmh!
Jeshi la Wananchi wa Tanzania wilayani Handeni Mkoa wa Tanga linaingia nyumba hadi nyumba kuandikisha vijana kujiunga na mafunzo ya mgambo kwa lazima, na mkuu wa Wilaya hiyo Bw, Muhingo Rweyimamu amesema atakae kaidi amri hiyo atahukumiwa kifungo cha miezi mitatu jela.
Nimekua nikufuatilia mada na michango mbalimbali katka page hii kwa muda mrefu kabla na baada ya kujiunga na familia hii. Nimegundua mambo mengi lakni leo nitajikita kwa wale wanaojiona wao ndio MA-GREATEST THINKERS THAN OTHERS. Hawa jamaa kazi yao ni kumshambulia yeyote atakae onekana anatetea...
Nimekua nikufuatilia mada na michango mbalimbali katka page hii kwa muda mrefu kabla na baada ya kujiunga na familia hii. Nimegundua mambo mengi lakni leo nitajikita kwa wale wanaojiona wao ndio MA-GREATEST THINKERS THAN OTHERS. Hawa jamaa kazi yao ni kumshambulia yeyote atakae onekana anatetea...
Ndugu yangu mwanamke ni sawa na msitu mnene, lakini ukiingia ndani kweupe, sisi kule kwetu ulaya kuna methali inasema ivi :MAGURU YEDI KWA HALE: maana yake MILIMA MIZURI KWA UONO WA MBALI LAKNI ISOGELEE UONE KAMA NI MIZURI! we angalia Mlima Kilimanjaro ulivyo mzuri lakni panda uone, kuna...
Achana nae mademu ndivyo walivyo utamrudia baadae atakuja kukumwaga tena kama huamini we umrudie lkn naamini utakuja kutoa ushuhuda humuhumu halafu atakuona ----- inamaana muda wote huo umeshindwa kupata demu mwingine mpaka umrudie yeye? Huo ni udhaifu kaka achana nae.
Me nadhan huwezi kuachana na mpenzi wako bila sababu, so mwambia kwasababu hii me na wewe basi, baada ya hapo hata akipiga cm unampotezea, na kama huna sababu ila umemchoka tu basi mtafutie zengwe lolote ilimradi uachane nae. NI HAYO TU MWADADA
Before ulikua unazipata? Na unatumia decorder gani? Mi nilikua natumia mediacom nilikua napata hzo zote ulizota na zaidi kama Msumbiji,Nigeria,Irani nk. Lkn kwenye hivi visimbuzi vya kibongo utaangaika sana.
Kaka yale ni magezeti ya udaku, hata Ulaya yapo na likikuandika vbaya ukilishtaki unalipwa fidia wao washafanya biashara sku zinaeenda jami inajua kilichoandilwa kuhusu wewe ni kweli. Na mtu mwenye akili timamu huwezi kununua magazeti ya udaku utasoma nini mule?me mara ya mwisho kununua gazeti...
Poa...jamani acha me nijitoe kwenye hii mada..coz hua sipendi maneno ya kashfa mngesubiri nimalize ndo mungeanza kukosoa lkn cjafka hata robo,sasa wewe unaesema madada poa wapo unadhani ukitumia adult nani atashangaa wakati mambo hayo watu washayazoea, hivi ww leo hii ukickia kuna X ya watoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.