Elizabeth Dominic
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 4,555
- 3,650
Wewe hata ukigombana na hawara yako msingizie Zitto wala usijali!
Zitto anamtumia bozo kujaribu kumharibia Mbowe mbona ana stoop so low......
Wewe hata ukigombana na hawara yako msingizie Zitto wala usijali!
Ndio linachojua kufanya the guy has no substance whatsoever
Naona akilala anaotaga vipochi manyoya
Mwigilu atakuwa aliomba akanyimwa sasa wivu unamsumbua -- teh teh teh
Mambo ya mapenzi ya watu 2 kayajuaje mwigulu kama sio unafiki na upuuzi wake? mambo ya uhawara wa watu anaweza kuthibitisha?
Zitto anamtumia bozo kujaribu kumharibia Mbowe mbona ana stoop so low......
Wakenya wanasema MPANGO WA KANDO.
Nilikwishakuwaambieni pale hakuna viongozi wala chama; kuna waganga njaa na wahuni tuuuuuSiasa huwa inaondoa heshima sana.......!hajapewa nchi ameanza hv sa akipewa c atakuwa ananyang'anya wake za watu na ukileta unazushiwa kesi ya kubaka.......!hizi ni pesa za walipa kodi zinazoliwa kwa mambo binafsi,hakuna mkombozi wa hii nchi zaidi wewe mwenyewe...hao hizo ajira zao km wewe ulivyoajiliwa hawana jipya.
Ushaidi ni Mwanamke hawezi kufanya kazi na mwanaumme bila kuwa na mahusiano ya kimapenzi!
Kuna watu bado wanaamini mwanamke uwezo wake unaishia jikoni!
Inasikitisha kuona mwanamke kusafi na mwanaume ndio mjadala bungeni leo, tena kutoka kwa naibu katibu mkuu wa chama tawala..safari yetu sio fupi!!
Eliza, vitu ka izi kwa sisi waafrika ni vya kawaida sana, Kifupi jamaa kaomba kanyimwa sasa ameamua kuharibu - roho lazima imuume!!Zitto anamtumia bozo kujaribu kumharibia Mbowe mbona ana stoop so low......
Zitto anamtumia bozo kujaribu kumharibia Mbowe mbona ana stoop so low......
Kanalipa lakini?
tangu lini wewe ulikuwa cdm ?sisi wafuasi na wanachama wa cdm tungependa yale viongozi wetu wanayotuhubiria majukwaani kuhusu uzalendo basi wayatekeleze kwa vitendo. Inatuacha njia panda kama yale wanayoyakemea majukwaani ndio hayohayo wanayoyafanya nyuma ya pazia! We are disappointed kwa kweli!