Hivi kwa nini...?

Hivi kwa nini...?

NI JAMBO AMBALO LIPO WAZI!
Kama mtu unakula chakula cha aina moja mwaka mzima lazima itafika kipindi utachoka
The issue is APPETITE, itafika kipindi utasema let me change fro A to B to experience the difference, ila kwa watu wengine ni TABIA na HULKA kuendekeza tabia ya ngonolization. Ila watu wote wakikaa katika maadiko ya madhehebu yao jambo hilo haliwezi kutokea kamwe. Stay watch out AIDS KILLS!
 
As they say 'it takes 2 to tangle'.. Japo mmojawapo (either mume au mke) anaweza kuwa chanzo cha matatizo kama haya lakini mwisho wa siku wote wanaishia kuchangia matatizo.. Binafsi nimeshawasikia baadhi ya wanaume ambao wanaamini mke ni mwanamke mwenye heshima ambae anapaswa kutotoka kwenda au disco au muziki (ingawa mwanzo kabla ya ndoa mitoko ilikuwa kwa sana tu).. Na vile vile hawapaswi kufanyiwa michezo ya baba na mama ovyo ovyo (kama zamani kwenye kochi.. kwenye gari.. uchochoroni.. barabarani na kadhalika).. Tatizo kubwa la hawa wenye mawazo kama haya ni kutoelewa mapenzi na mahaba yalichochewa na mambo mengi ikiwamo 'adventures' hizi ambazo zikija kukosekana baadae inakuwa moja ya sababu ya kushuka kwa kiwango cha mahaba ndani ya nyumba.. 
 
Ndugu yangu mwanamke ni sawa na msitu mnene, lakini ukiingia ndani kweupe, sisi kule kwetu ulaya kuna methali inasema ivi :MAGURU YEDI KWA HALE: maana yake MILIMA MIZURI KWA UONO WA MBALI LAKNI ISOGELEE UONE KAMA NI MIZURI! we angalia Mlima Kilimanjaro ulivyo mzuri lakni panda uone, kuna makorongo, majabali nk. lakni ukiwa mbali hayo yote huyaoni. Hivyo ndivyo walivyo wanawake hawatofautiani na hii methali ya kikwetu.
 
Back
Top Bottom