Recent content by Prince Kamugisha

  1. Prince Kamugisha

    Nini inaweza kuwa shida kwenye hii engine naona inavuja oil

    Wala hakuna tatizo,ni kwamba umezidisha kilometres za service oil imekuwa nyepesi kama maji,Suluhisho ni kumwaga oil na kuweka mpya.
  2. Prince Kamugisha

    Nani aliasisi jina "Mwendazake"

    Hilo Jina hutumika nchini Kenya wao badala ya Marehemu au Hayati wanatumia Mwendazake
  3. Prince Kamugisha

    Msinunue Namba za magari badala ya Gari lenyewe

    Madalali ndio walileta mambo ya namba watu wanaacha kununua gari imara ananunua namba
  4. Prince Kamugisha

    Hizi gari Toyota Prado ex naomba kujua kwa undani

    Siku ukitumia gari ya diesel hutatamani tena kurudi kwenye Petrol
  5. Prince Kamugisha

    GE2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020

    Sasa kama Mchuano ulikuwa kwa Mr Denis na huyo Mwl Felix mbona Mwalimu Felix Bwahama hakuwa wa pili,asiyekubali kushindwa si mshindani jipange tena 2025
  6. Prince Kamugisha

    ASFC: Yanga yatinga Nusu Fainali baada ya kuichapa Kagera Sugar 2-1

    Nilichokiona leo 😂😂 yaani mbeleko ya wazi kabisa Lawi kavuta mpunga Gsm,yaani huyu ashawahi kuchezesha mechi mbeya wachezaji wa Mbeya City wakiwa kumi na mbili uwanjani
  7. Prince Kamugisha

    Msinunue Namba za magari badala ya Gari lenyewe

    Kweli kabisa juzi nimekutana na Land Cruiser namba A lilikuwa jipya kabisa sijui mmiliki amelitunza namna gani
  8. Prince Kamugisha

    Ukiona mtaani Gari zimeandikwa katika Plate Number kama ifuatavyo usiumize kichwa

    Leo katika Bajeti ya Serikali Waziri mpango amesema kutakuwa na Special number kwa magari binafsi, sasa je? Itahusisha magari mapya au na yale ambayo yameshasajiliwa,naomba kueleweshwa kidogo
  9. Prince Kamugisha

    TANZIA: Diwani kata ya Kiwanja cha Ndege Morogoro, Isihaka Sengo afariki Dunia

    Hii week ikija kuisha kila uzi humu utakuwa ni Tanzia
  10. Prince Kamugisha

    BASATA lamfuta usajili “Dudubaya”

    Inaonekana hata Account yake wameifunga
  11. Prince Kamugisha

    Msaada: Mafundi bora kabisa Dar es Salaam wa kunyoosha na kupiga rangi

    Mtafute Rider_car paint Instagram jamaa yuko vizuri kwenye rangi za magari
  12. Prince Kamugisha

    Bongo Star Search Wapewa mwezi mmoja kumlipa mshindi wa BSS 2019

    Ndo nimeanza kuamini kuwa maisha ya mastaa wa Bongo ni yakuigiza tu hawana kitu mpaka yanadhulum wanyonge,yanakaa Instagram kuposit Maisha ya juu kumbe mazulumat
Back
Top Bottom