Recent content by pricasoo

  1. pricasoo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Huu uzi inapendeza kufatilia comments ukiwa na mtoto room basi unajipigia tuuu
  2. pricasoo

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe kauli za viongozi wetu

    Watalimia meno
  3. pricasoo

    JamiiForums Tanzania Mbeya City na Kagera, mbombo Nkafu!

    Jahazi naona linajaa maji tuu
  4. pricasoo

    JamiiForums Tanzania Kifo cha mwl Nyerere na nyimbo za TOT.

    Kwani kuna nini mbona sielewi
  5. pricasoo

    JamiiForums Tanzania Haipingiki: Hii ndio Top 10 ya binadamu wanaochukiwa zaidi Tanzania kwa sasa

    Mleta maada umeanza kwa kutuambia makundi ya watu ambayo hayapendwi Tanzania, lakini sasa ulichokifanya hujataja makundi umetutajia mtu mmoja mmoja.
  6. pricasoo

    JamiiForums Tanzania Simu ni zaidi ya simu!! Inafanya kazi zaidi ya 1000

    Note book .
  7. pricasoo

    JamiiForums Tanzania Waswahili ni watu wa hovyo sana, jamaa yangu kafanya jambo la kipuuzi

    Plate no imefichwa hii ni chai.
  8. pricasoo

    JamiiForums Tanzania Wakuu nakaribisha kushare hapa picha yako kali unayoikubali uliyopiga kwa simu

    Kipumbwi ndo mwenyewe kwa madagaa
  9. pricasoo

    JamiiForums Tanzania Wakuu nakaribisha kushare hapa picha yako kali unayoikubali uliyopiga kwa simu

    Pangani road hiyoooo
  10. pricasoo

    JamiiForums Tanzania Hatutaki Dom iwe kama Dar

    Mtoa maada nimemuelewa kuwa jiji la dodoma linakuwa sasa lisiachwe lijengwe bila mpangilio kama lilivo jiji letu pendwa la Mzizima, kuwe na mpangilio wa jiji lakini wengi wameelewa tofauti.
  11. pricasoo

    JamiiForums Tanzania Maisha ni mwandishi sio kalamu

    Asante kwa kunifanya niganye mageuzi kwa kichwa [emoji1317][emoji1317][emoji294]️
  12. pricasoo

    JamiiForums Tanzania Ukitapeliwa usifanye haya. Ni janga!

    Somo zuri mkuu.
Back
Top Bottom